Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Mkuu hayo mambo sio Africa tu.

Ni dunia nzima.

Hujawahi sikia huko macca inavyokuwaga

India je .ni dunia yote ,mambo ya imani ni magumu sana
Mambo ya imani siyo magumu hata kidogo.

Watu ndiyo wagumu hawaelewi au wanakataa mafundisho sahihi ya imani.
 
Mkuu hawa jamaa wanaojiita manabii wanachuma ulete yao. Wanakamata sana watu hata wenye elimu kubwa tu na hasa ikitokea kukawa na tatizo watu wengi awataki kukubali kwamba changamoto ni sehemu ya maisha yetu. Wanakimbilia kupata tumiujiza bila kujua kuwa huko wanakojipeleka wanaweza kuwa wanajiongezea taabu zaidi kama hizi za kukanyagana, nk.

Please revisit your skewed comments herein, as I said your rabid hatred of Mwamposa knows no bound!!

Hapa unaleta usanii kwa kujaribu ku-shade crocodile tears kujitia Mwamposa kafanya crime of the century hivyo anapashwa kufuatwa na military flying squad atiwe pingu afungwe kwenye slamner maisha yake yote ili dini zenu zenye upungufu mkubwa wa wahumini zipumue kidogo, ndio ngozi nyeusi tulivyo.

Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anae furahia msiba huu, lakini ukweli unabaki kwamba yaliyo tokea pale ni ajali na sio by design hata mkimlahumu Mwamposa mtakuwa mnamuonea tu.
 
ni ngumu sana kubadili mindset ya Watanzania/waafrica kuwa katika hali ya kujitambua. nashangaa mpakaeo watu wanadhani mchungaji + mafuta ya upako + maji ya upako + na mengineyo yanayotangazwa na hawa wachungaji wakileo yatawaondolea mabalaa na kuwaletea utajiri.

Kujishughulisha ndo kitu kikubwa usitegemee utapata mafuta ya upako eti upate utajiri says who?

ndo maana nchi za wenzetu hata haya makanisa wamebaki kwenda wachache tu sababu wanajua. na makanisa yao hayana sijui mafuta ya upako wala vitambaa vya miujiza unaingia unasali unasepa.

waafrika amkeni bana mnatia aibu
 
na bado waumini wa dar wamempokea na kushiriki nae katika ibada kama hakuna kitu kilicho tokea vile ambacho ni kibaya na kimeumiza hisia za watu wengi.........
hili taifa lina watu wengi vichaa
Ndiyo maana watawala wetu wanafanya watakalo kwasabb wanajua watanzania wengi ni matahira
 
We jamaa jinga kweli , yani unataka kuleta ile battle yenu ya Wachaga VS wahaya mpaka kwenye misiba.....

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Hampaswi kufanya battle na Sisi tena sio level yetu nyinyi.

Yaan mnagombania mafuta ya nini?
Wachaga what's wrong

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe bado una ukabila!?
Pole sana
Humu ndani tunasikiaga kuwa wachaga ni waisrael ,wana ufaham na maarifa ya kutosha,ndio wanaoendesha uchumi wa nchi kumbe mburura wakutupwa.Mnauana kwa ajili ya ujinga na upumbavuuu eti mafuta ya baraka kutoka kwa binadam mwenzako.Elimu ni muhim sana katika jamii yetu ya kitanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oil was not meant to be distributed, but stepped on.
I misunderstood at first.. i thought they were running for the distribution bt they were to step on it rather
 
Back
Top Bottom