Oxpower
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 2,166
- 3,077
Nundu_Tanzania, Mkuu hayo mambo sio Africa tu.
Ni dunia nzima.
Hujawahi sikia huko macca inavyokuwaga
India je .ni dunia yote ,mambo ya imani ni magumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dunia nzima.
Hujawahi sikia huko macca inavyokuwaga
India je .ni dunia yote ,mambo ya imani ni magumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app