Bukyanagandi,
Yes am a Roman Catholic. Hayo ya 40 yrs later RC itakuwa haina waumini ni kujitia ukichaa. Kama unaongelea waumini chengachenga kama hao wanaoenda kukanyagana kwenye vibanda vya kishirikina nitakuelewa. Catholics na waumini wake huwa atupeperuki hovyohovyo.
Catholics ukiondoa kasoro ndogo ndogo za kibinadamu zinazolikumba kanisa, huwa hatuna longolongo. Mambo ya kudanganyana hakuna, ukweli unasemwa kule. Haya ya mwamposa na wengine ya kutumia matatizo ya watu kama chambo ya kujipatia ufahari duniani ni ushirikina tu kama watu wengine wanavyoenda kwa waganga wala hakuna tofauti.
Aisee usimlinganishe huyo mganga wako mwamposa na Yesu. Haya Yesu alifufua wafu mwambie huyo mganga wako mwamposa awafufue hao watu aliowaua tuone.
Hizo stories za sijui askofu alifanya hivi ikawa vile ziko nyingi hii ya kwako hata data haina inaonekana kama ya kugushi vile. Na kama ni ya kweli basi ndiyo Catholic yenyewe hiyo hata kama ni askofu, wakiona unaleta mambo ya kishirikina kanisani hawawezi kukuacha uendelee kuchafua kanisa lazima watakuwajibisha na ukijifanya mbishi utabanwa mpaka uondoke mwenyewe kama huyo askofu uliyesimulia maana inaonekana alibanwa hadi ushirikina wake uka-expire hadi kachanganyikiwa na kuishia kuwa mzinzi.
Take home message for you: whether you agree or not "Catholic is a real Church of Jesus Christ" hata wajasiliamali wa dini wote akiwemo mwamposa wanalijua hili.