Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Huyu jamaa kafanya nini? Mnisamehe uwa nipo nyuma kwenye issue za dini.
 
kweli nimeamini, kati ya watanzania watatu kuna mmoja ni taira.

yani matatizo yametokea kwenye himaya yake lkn ye anaondoka kama vile hakuna kilichotokea.
Aliwahisha kafara. Kama umewahi kusikia shuhuda za wachimba madini wanaotoa ndugu au wazazi kafara huwa ni lazima msiba ukishatokea hutowela na kwenda eneo la kazi na kurudi. Kama ikitokea msiba umetokea akiwa hayupo ni lazima afike chapu afanye yake aondoke aende eneo la kaz DSMi na kurudi. Hivyo na huyo Doza ni lazima angewahi kwanza eneo la kazi. Chezea nguvu za majini wewe.
 
Kwa ufupi jamaa kasababisha mauaji, sheria kupitia mahakama haitamfunga lipo wazi.

Pili backmagic+😈 power imetumika kuuwa watu ili avune pesa na kujaza watu, sababu hakuna mchungaji mwenye akili timamu watu wanakufa alafu yeye anakimbia, NO!
Aliwahisha kafara eneo kuu la kazi Tanganyila Pakers
 
Mnatengeneza kina David Koresh wenyewe


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Alitumia kibali yaliyombwa na mtu mwingine

Ova
Aliomba kibali cha hilo kusanyiko?
Kama hakuomba kibali awekwe ndani na taratibu za kisheria zifuatwe..

Kama aliomba kibali na kupewa basi aachiwe mara moja na jeshi la polisi Moshi liwajibike..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hawa waliokufa kugombea upako wana tofauti yoyote ya ujinga wa akili na wale waliokwenda Loliondo?

Kumkamata Boniface Mwampasa wakati babu wa Loliondo anaendelea kufyonza bata siyo sahihi.
Loliondo wamekufa wengi zaidi kuliko hawa wa Boniface.
 
PRO 90,
ndio mkuu, kumbuka katiba yetu na government system tumetoa great britain, hata miundo ya majeshi yetu ni tumeiga ulaya hasa britain sasa kwa mantiki hiyo nimelazimika kukuhoji hivo kwa maana mimi sina uelewa kama nao wanamuweka mtu ndani kwa usalama wake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Manabii wa uwongo tu mafuta yanakaa kanisani
Wanatumia umbumbumbu wa wanawake kuwahadaa kuwa watapata mafanikio ya haraka. Inasikitisha jinsi wanawake na watoto wanavyouliwa bila huruma huku serikali imekaa kimya.
 
Wengine wanalishwa nyasi, wengine wanapuliziwa dawa ya mbu, wengine wanauziwa chupi zenye picha ya mchungaji, wengine walikunywa kikombe cha babu... hawa nao wanakanyaga mafuta;... Naanza kuelewa kwanini Paul Kagame alifutilia mbali makanisa uchwara. Hapa kwetu sijui tunasubiri nini kuwafutilia mbali hawa opportunists.
 
Hivi wanawake kwanini mnadanganyika kirahisi hivyyo? Katika watu wote 20 hakuna mwanamume hata mmoja bali ni wanawake na watoto. Wanawake hivi mnakwama wapi jamani?
 
Wengine wanalishwa nyasi, wengine wanapuliziwa dawa ya mbu, wengine wanauziwa chupi zenye picha ya mchungaji, wengine walikunywa kikombe cha babu... hawa nao wanakanyaga mafuta;... Naanza kuelewa kwanini Paul Kagame alifutilia mbali makanisa uchwara. Hapa kwetu sijui tunasubiri nini kuwafutilia mbali hawa opportunists.
Wachungaji wengi ni wafuasi wa CCM, hawawezi kuguswa.....tunaogopa kukosa kura za wafuasi wao oktoba, 2020.
 
Wachungaji wengi ni wafuasi wa CCM, hawawezi kuguswa tunaogopa kukosa kura za wafuasi wao oktoba, 2020.
Anhaaaa... ndo maana makada wakiharibu hali ya hewa huwa wanakimbilia 'kuombewa'!!!. Kwa hiyo siasa na dini hapa Tanzania ni mtu na mpenzi wake au mume na mke (Siasa mume, Dini mke).😛
 
Back
Top Bottom