Mr Putin
JF-Expert Member
- Feb 13, 2019
- 515
- 520
Sadaka alikua kashakusanya already au?yule jamaa ni mshenzi...hauwezi kudiriki kumwaga mafuta kwenye geti kwa umati wote ule halafu utegemee kuona watu wakiwa salama....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sadaka alikua kashakusanya already au?yule jamaa ni mshenzi...hauwezi kudiriki kumwaga mafuta kwenye geti kwa umati wote ule halafu utegemee kuona watu wakiwa salama....
Me I can't blame him! Sheria zipo ila hazifuatwi kuanzia juu! Usimamizi mbovu.Sadaka alikua kashakusanya already au?
Aliwahisha kafara. Kama umewahi kusikia shuhuda za wachimba madini wanaotoa ndugu au wazazi kafara huwa ni lazima msiba ukishatokea hutowela na kwenda eneo la kazi na kurudi. Kama ikitokea msiba umetokea akiwa hayupo ni lazima afike chapu afanye yake aondoke aende eneo la kaz DSMi na kurudi. Hivyo na huyo Doza ni lazima angewahi kwanza eneo la kazi. Chezea nguvu za majini wewe.kweli nimeamini, kati ya watanzania watatu kuna mmoja ni taira.
yani matatizo yametokea kwenye himaya yake lkn ye anaondoka kama vile hakuna kilichotokea.
Aliwahisha kafara eneo kuu la kazi Tanganyila PakersKwa ufupi jamaa kasababisha mauaji, sheria kupitia mahakama haitamfunga lipo wazi.
Pili backmagic+😈 power imetumika kuuwa watu ili avune pesa na kujaza watu, sababu hakuna mchungaji mwenye akili timamu watu wanakufa alafu yeye anakimbia, NO!
kuna wajinga mpaka unaumia kichwaeehhh eehh !!...thats why nili unstore hiyo platform imejaa wajinga wengi
Aliomba kibali cha hilo kusanyiko?
Kama hakuomba kibali awekwe ndani na taratibu za kisheria zifuatwe..
Kama aliomba kibali na kupewa basi aachiwe mara moja na jeshi la polisi Moshi liwajibike..
Muda mchacheeAtaripoti,atapelekewa mdhamana atatoka Then Kimya tunamsahau mambo meng.
mkuu ameedit bila kujibuUkijibiwa Unitag tafadhali
Wanatumia umbumbumbu wa wanawake kuwahadaa kuwa watapata mafanikio ya haraka. Inasikitisha jinsi wanawake na watoto wanavyouliwa bila huruma huku serikali imekaa kimya.Manabii wa uwongo tu mafuta yanakaa kanisani
Wachungaji wengi ni wafuasi wa CCM, hawawezi kuguswa.....tunaogopa kukosa kura za wafuasi wao oktoba, 2020.Wengine wanalishwa nyasi, wengine wanapuliziwa dawa ya mbu, wengine wanauziwa chupi zenye picha ya mchungaji, wengine walikunywa kikombe cha babu... hawa nao wanakanyaga mafuta;... Naanza kuelewa kwanini Paul Kagame alifutilia mbali makanisa uchwara. Hapa kwetu sijui tunasubiri nini kuwafutilia mbali hawa opportunists.
Mafuta yalimwagwa chini, tangu lini mchanga ukateleza kwa sababu ya mafuta Lita moja?Mafuta yawe ya kula au disel yanateleza wewe unayamwaga kwenye kavelo watu wakanyage akili matope?
Anhaaaa... ndo maana makada wakiharibu hali ya hewa huwa wanakimbilia 'kuombewa'!!!. Kwa hiyo siasa na dini hapa Tanzania ni mtu na mpenzi wake au mume na mke (Siasa mume, Dini mke).😛Wachungaji wengi ni wafuasi wa CCM, hawawezi kuguswa tunaogopa kukosa kura za wafuasi wao oktoba, 2020.