Naunga mkono hojaBadilisha habari yako iwe wafuasi wa dini ya mwaposa sio wakristu
😂😂😂alitaka mfuko ujaeKitu kinachosangaza kuliko vyote ni kuwa katika wahanga hao 20 eti kuna mwanaume mmoja Duuuuh!! mwanaume wa wapi huyo? Haya mambo ya miujiza wateja wake si ni wanawake?
Hata ukiangalia 19 wanawake mwanaume peke yake hajishangai😂😂😂alitaka mfuko ujae
I misunderstood at first.. i thought they were running for the distribution bt they were to step on it rather
Wow! Watu wanajua lugha za watu hao. Mweeethe newly minted Minister of police, Simbachamwene, a lawyer by training, was hard pressed to state the wrong that the cleric supposedly committed
he said the service overrun the timeframe allowed for the rally by one hour before he qualified that it is not Prophet Mwaiposa who had requested the permit, a fact which effectively exonerates Mwaiposa of being the one primarily answerable to any breaches of the permit...
lastly, grasping at straws, the Minister conjured up a pitifully flimsy argument: "but why did he run away"?
Ninamuombea akafungwe.
Inasemekana pale uwanjani kulikuwa mvua imataka kunyeaha sasa ile hali ya kukanyaga mafut watu wakawa wanagombania kukanyaga ili wawahi kutimla kabla hawajańyshewa kwa wingi w wale watu na bwawa lenye hayo mâfuta lilikuwa ndogo sana mdio kikatokea kukanyagana kama ng'ombe kwene josho
Mwamposa yupo karibu sana na Bashite pamoja na baba yake. Itoshe kusema hilo ili kujua kwamba hakuna lolote litamtokea.
Hatua za kiini macho zitakuwa nyingi lakini mwishowe itakuwa business as usual.
Biashara za " mafuta" zimekuwa nyingi awamu hii. Mmoja wa wateja wao ni huyo huyo mtu wenu mkubwa. Nchi inaangamia kila kona.
kweli nimeamini, kati ya watanzania watatu kuna mmoja ni taira.
yani matatizo yametokea kwenye himaya yake lkn ye anaondoka kama vile hakuna kilichotokea.
Alienda Dar kuweka mambo yake sawa kwanza.
Cc: Mshana Jr.
macson
luambo makiadiHata uchagani wapo kumbe wajinga? Mbona huwa mnasema humu kuwa wachaga wamesoma sana? Au hawakuelimika? Pole zao!
Na aliyetumia kosa la chagga na njaa ya wachagga kuwaua huyo ndie mwenye kosa kubwa zaidi limupasalo kupewa adhabu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwingine yuko ghana kasema apewe 10% ya utajiri wa kobe amfufue,yani hawa manabii nkiwakuta mbinguni najiua
Sent using Jamii Forums mobile app