Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Kitu kinachosangaza kuliko vyote ni kuwa katika wahanga hao 20 eti kuna mwanaume mmoja Duuuuh!! mwanaume wa wapi huyo? Haya mambo ya miujiza wateja wake si ni wanawake?
 
😂😂😂alitaka mfuko ujae
 
I misunderstood at first.. i thought they were running for the distribution bt they were to step on it rather

the newly minted Minister of police, Simbachamwene, a lawyer by training, was hard pressed to state the wrong that the cleric supposedly committed

he said the service overrun the timeframe allowed for the rally by one hour before he qualified that it is not Prophet Mwaiposa who had requested the permit, a fact which effectively exonerates Mwaiposa of being the one primarily answerable to any breaches of the permit...

lastly, grasping at straws, the Minister conjured up a pitifully flimsy argument: "but why did he run away"?
 
Wow! Watu wanajua lugha za watu hao. Mweee
 
Ala kumbe, huwa tunaaminishwa kwamba huko Kilimanjaro lami ni kila sehemu maana kumeendelea sana kumbe matope tu.
Inasemekana pale uwanjani kulikuwa mvua imataka kunyeaha sasa ile hali ya kukanyaga mafut watu wakawa wanagombania kukanyaga ili wawahi kutimla kabla hawajańyshewa kwa wingi w wale watu na bwawa lenye hayo mâfuta lilikuwa ndogo sana mdio kikatokea kukanyagana kama ng'ombe kwene josho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akipelekwa gerezani atamwaga mafutaa kila kona na milango ya gereza itafungukaaa...chezea nguvu ya mafutaaaa 🤣 🤣 🤣 🙌
 
USSR,
Mwamposa yupo karibu sana na Bashite pamoja na baba yake. Itoshe kusema hilo ili kujua kwamba hakuna lolote litamtokea.

Hatua za kiini macho zitakuwa nyingi lakini mwishowe itakuwa business as usual.

Biashara za " mafuta" zimekuwa nyingi awamu hii. Mmoja wa wateja wao ni huyo huyo mtu wenu mkubwa. Nchi inaangamia kila kona.
 
Ni classmate wake walisoma wote Chuo cha ushirika moshi

USSR
Mwamposa yupo karibu sana na Bashite pamoja na baba yake. Itoshe kusema hilo ili kujua kwamba hakuna lolote litamtokea.

Hatua za kiini macho zitakuwa nyingi lakini mwishowe itakuwa business as usual.

Biashara za " mafuta" zimekuwa nyingi awamu hii. Mmoja wa wateja wao ni huyo huyo mtu wenu mkubwa. Nchi inaangamia kila kona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamefariki watu 20, wanawake 18 na wanaume 2 (EA Radio). Kwa nini wengi ni jinsia ya kike?
 
kweli nimeamini, kati ya watanzania watatu kuna mmoja ni taira.

yani matatizo yametokea kwenye himaya yake lkn ye anaondoka kama vile hakuna kilichotokea.

Wakati wanakanyagana Mwamposya alishaondoka muda mrefu tu, tayari kwa Safari yake nje ya nchi.
 
Huu ni ushirikina na utowaji wa kafara roho za watu ni wapi na lini Yesu alifanya jambo kama hilo (watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa) atubu na amrejee mungu ila asamehewe la sivyo kwake hakuta kuwa na asubuhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom