Kwanza tuwape pole,watanzania wenzetu waliofikwa na maafa yaliotokoa mkoani Moshi,wa kukanyagana na wengine kufariki dunia.
Tukiangalia pia katika nyumba za ibada, hasa misikiti,iwe na milango ya kutosha, na wakati wote iwe wazi, kwa mfano ipo misikiti, ina milango zaidi ya mmoja, lakini utakuta milango mingine imefungwa, kwa amri ya uongozi, unaotumika ni mlango mmoja tu, ukiulizia wanasema ni kwa sababu ya usafi, ikifunguliwa kutachafuka, tuangalie usalama ni muhimu.
Wakati ramani ilipitishwa jengo liwe na milango zaidi ya mmoja, lakini mingine inafungwa, milango ya kutoka nje ya jengo.
Na wakati jengo, ni la ghorofa, lina ghorofa zaidi ya moja. Mungu amesema jisaidie, na mimi nitakusaidia.
Sent using
Jamii Forums mobile app