Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Echililo,
Kwanza haonyeshi hata simanzi kwa wafiwa.
Kama kweli alikuwa kwenye huduma ya kimungu kwanini alitoroka baada ya tukio na asikae akafarijiana na wafiwa na kuona namna ya kuwasaidia hata kwa maombi?
Jamani tufunguke akili basi
 
Kwameh,
Ofcourse it can be tricky
But he is a catalyst...circumstancial evidence

they managed to jail the owner of Lucky Vincent Schools for the school bus accident(May they Rest in Peace), how dare they acquit this man in this situation?..
 
Kwanza tuwape pole,watanzania wenzetu waliofikwa na maafa yaliotokoa mkoani Moshi,wa kukanyagana na wengine kufariki dunia.

Tukiangalia pia katika nyumba za ibada, hasa misikiti,iwe na milango ya kutosha, na wakati wote iwe wazi, kwa mfano ipo misikiti, ina milango zaidi ya mmoja, lakini utakuta milango mingine imefungwa, kwa amri ya uongozi, unaotumika ni mlango mmoja tu, ukiulizia wanasema ni kwa sababu ya usafi, ikifunguliwa kutachafuka, tuangalie usalama ni muhimu.

Wakati ramani ilipitishwa jengo liwe na milango zaidi ya mmoja, lakini mingine inafungwa, milango ya kutoka nje ya jengo.

Na wakati jengo, ni la ghorofa, lina ghorofa zaidi ya moja. Mungu amesema jisaidie, na mimi nitakusaidia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kiongozi nimesikia speech yake LIVE. Amesema polisi walitoa kibali cha siku 2 lakini hakutaja muda wa mwisho wa kibali na ni kwanini polisi wake hawakusimamisha mkutano mara walipoona muda ulioombwa umepitiliza. Huyu asiachwe kwa watakaohojiwa.
 
Sasa ngoja ili litapita Kama mengine yanavyopita mwisho wenzetu wameshatangulia na mambo yatasonga mbele Kama kawaida baada ya wiki jamaa atakuwa mtaani akiendelea na mapicha picha Kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keani walifanya kwa siju ngapi tuanzie hapo
Huyu kiongozi nimesikia speech yake LIVE. Amesema polisi walitoa kibali cha siku 2 lakini hakutaja muda wa mwisho wa kibali na ni kwanini polisi wake hawakusimamisha mkutano mara walipoona muda ulioombwa umepitiliza. Huyu asiachwe kwa watakaohojiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DC Ole sabaya wa Hai amewataka viongozi wa dini waache tabia ya kuwatapeli wananchi na kuwasababishia maangamizi.

Ole sabaya amesema hayo katika shughuli ya kuaga miili ya wale waliokufa katika mkutano wa mtume Mwamposya.

Sabaya amesema hakuna sehemu yoyote katika Biblia inayosema mtu anaweza kupata utajiri bila kufanya kazi, hivyo makanisa yote mkoani Kilimanjaro yatahakikiwa.

Source: TBC
 
Kutokana na changamoto za kimaisha watu wanafata zaidi miujiza na ndipo wenuye akili wanatumia changamoto kuwa fursa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
 
Back
Top Bottom