Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Waganga wa kienyeji huu utawala wanakuja kwa njia ya kichungaji..zamani lete njiwa wa njano...siku hizi njoo upakwe mafuta ya majini..sijui na keki za kuzimu..ukute huu nao ni mkafara tu....hilo neno wasilitafute kwe biblia kutwa kukimbilia keki
 
Nakumbuka Mwakasege aliahirisha Mkutano wake pale karimhee baada ya kuona nyomi ya watu ni wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…