Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BadNewsWatu 18 wamekufa leo Jumamosi Februari Mosi, 2020 baada ya kukanyagana katika harakati za kukanyaga mafuta ya upako kwenye
kongamano la Mtume Boniface Mwamposa mjini Moshi, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitishaView attachment 1343848
Chanzo:Mwananchi
Watu 18 Niwengi Sana Sana Jamani Tanzania Tunaangamia Kwakukosa Maarifa
Am Speechless [emoji26][emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka Mwakasege aliahirisha Mkutano wake pale karimhee baada ya kuona nyomi ya watu ni wengi sanaWatu 18 wamekufa leo Jumamosi Februari Mosi, 2020 baada ya kukanyagana katika harakati za kukanyaga mafuta ya upako kwenye
kongamano la Mtume Boniface Mwamposa mjini Moshi, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitishaView attachment 1343848
Chanzo:Mwananchi
Watu 18 Niwengi Sana Sana Jamani Tanzania Tunaangamia Kwakukosa Maarifa
Am Speechless [emoji26][emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi habari ni mbaya sana,18 ni namba kubwa sana
hapa ndokipimo cha matatizo kwa watu yanapoonekana,hii yote inatokana ma hali mbaya mtaani kiasi cha kila mtu kujiona amerogwaJamani, kwanini aliweka mafuta machache mpaka watu wakanyagane hivo, hakukua na utaratibu wowote ile kukanyaga kwa zamu labda duh, hii inaonesha jinsi watu tuko desperate, matatizo, kiasi ukiambiwa chochote unafata tu so sad.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wamekufaSiamini hii ni hoax
Africans tuna shida sana mkuuhapa ndokipimo cha matatizo kwa watu yanapoonekana,hii yote inatokana ma hali mbaya mtaani kiasi cha kila mtu kujiona amerogwa
Kingsmann
Sent using Jamii Forums mobile app