Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

Lowasa alisema kipaumbele number
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
Watanzania wakampuuza.
Watu walio elimika hakika wasinge kwenda kumsikiliza fake pastor. Pili wangegundua hayo mawese ni kama mawese mengine tu.
Serikali yetu isisubiri mpaka wengine wafe kwa ujinga. Ipige marufuku huu upuuzi wa mikutano ya kidini. Ibada zifanyiwe makanisani na misikitini tu.
 
Sasa hivi Mwamposa ametulia hotelini na mchepuko wake wanahesabu hela huku wachagga wanakodi mahema ya misiba. Kamatahii mutu. Fungia ndani. Ndalichako njoo kuna nwingine huku anahitaji ung'eng'e wako akalale ndani.
 
Nilimuunga mkono Kagame alivyopitisha panga kwa kufungia hivi vitega uchumi, ujasiriamali wa injili.

Ndio,kila mtu anahaki ya kikatiba ya kuabudu anachoamini ila kuna vitu ni lazima serikali iweke mkono kidogo, tukiacha haya mambo yaendelee tutakuja kuwa na taifa la mazuzu.
 
Wameangamia kwa kukosa maarifa. Mafuta ya upako yana tofauti gani na irizi za waganga wa kienyeji?
Ifike mahali serikali ilinde raia wake dhidi ya utapeli wa kidini.

Naona unarudia propaganda za Kakobe na mwenzake wa Kanisa la Agape - FYI Tanzania ni Taifa huru kila raia ana haki yakufuata dini aipendayo.
 
Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha


Chanzo: Mwananchi
HOS. 4:6 SUV
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
 
Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha


Chanzo: Mwananchi
Badilisha habari yako iwe wafuasi wa dini ya mwaposa sio wakristu
 
Hata uchagani wapo kumbe wajinga? Mbona huwa mnasema humu kuwa wachaga wamesoma sana? Au hawakuelimika? Pole zao!
Ujinga mwingi tu, you can't believe!
Huyu mchungaji Mwamposya alikuwa hapa Moshi few months ago. Alitengeneza 'mpunga' wa kutosha, kisha amerudi kuchukua mpunga tena. Nonsense!
Anacheza na minds za Wachagga kuhusu uhaba wa ardhi na ukosefu wa ajira.
Unanunua mafuta ya alizeti kisha unamwaga ili upate baraka. Ujinga.


wajinga ndio waliwao


Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM WSME TENGENEZA TUKIO WATUTOE KWENYE HABARI KUBWA YA MTOTO MPENDWA WA BABA KUFUNGIWA MAZIMA KWENDA USA
 
Hii nguvu ya Mwamposa ni ya Yesu au ni ya Nana Bonsam?

Hali ni ngumu mitaani watu wanatapatapa kila mahali kunusuru hali zao.
 
Tokea juzi kuna mtu kamuandama Mwaposa na mafundisho yake leo yametimia
Screenshot_20200202-002910_Facebook.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom