Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upon labda wakitokaSijakuelewa mkuu! Yaani wamekanyagana wakigombea kukanyaga mafuta au wakigombea kuchukua hayo mafuta?
Mungu tuhurumie Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimuunga mkono Kagame alivyopitisha panga kwa kufungia hivi vitega uchumi, ujasiriamali wa injili. Ndio,kila mtu anahaki ya kikatiba ya kuabudu anachoamini ila kuna vitu ni lazima serikali iweke mkono kidogo, tukiacha haya mambo yaendelee tutakuja kuwa na taifa la mazuzu. |
Hua wanaheshimiana tu kupisha mwenzako amalize semina maadam tyr alishaanza!Nakumbuka Mwakasege aliahirisha Mkutano wake pale karimhee baada ya kuona nyomi ya watu ni wengi sana
Wameangamia kwa kukosa maarifa. Mafuta ya upako yana tofauti gani na irizi za waganga wa kienyeji?
Ifike mahali serikali ilinde raia wake dhidi ya utapeli wa kidini.
HOS. 4:6 SUVWaumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha
Chanzo: Mwananchi
Kwa kweli nami naunga mkono hoja yako, Kiranga njoo utupatie ufumbuzi hapa[emoji851]Kwa hiyo tuseme Sir God kaangamiza watu wake
Kiranga nakuomb mara moja hapa [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Badilisha habari yako iwe wafuasi wa dini ya mwaposa sio wakristuWaumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha
Chanzo: Mwananchi
Ujinga mwingi tu, you can't believe!Hata uchagani wapo kumbe wajinga? Mbona huwa mnasema humu kuwa wachaga wamesoma sana? Au hawakuelimika? Pole zao!
wajinga ndio waliwao
MKUU KUMBE UNAIJUA BIBLEWatu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Umaskini ni mbaya sana. Huyo mchungaji akamatwe haraka sana.
Haahaa