Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na bado waumini wa dar wamempokea na kushiriki nae katika ibada kama hakuna kitu kilicho tokea vile ambacho ni kibaya na kimeumiza hisia za watu wengi.........kweli nimeamini, kati ya watanzania watatu kuna mmoja ni taira.
yani matatizo yametokea kwenye himaya yake lkn ye anaondoka kama vile hakuna kilichotokea.
Mkuu hawa jamaa wanaojiita manabii wanachuma ulete yao. Wanakamata sana watu hata wenye elimu kubwa tu na hasa ikitokea kukawa na tatizo watu wengi awataki kukubali kwamba changamoto ni sehemu ya maisha yetu. Wanakimbilia kupata tumiujiza bila kujua kuwa huko wanakojipeleka wanaweza kuwa wanajiongezea taabu zaidi kama hizi za kukanyagana, nk.Humu ndani tunasikiaga kuwa wachaga ni waisrael ,wana ufaham na maarifa ya kutosha,ndio wanaoendesha uchumi wa nchi kumbe mburura wakutupwa.Mnauana kwa ajili ya ujinga na upumbavuuu eti mafuta ya baraka kutoka kwa binadam mwenzako.Elimu ni muhim sana katika jamii yetu ya kitanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
na bado waumini wa dar wamempokea na kushiriki nae katika ibada kama hakuna kitu kilicho tokea vile ambacho ni kibaya na kimeumiza hisia za watu wengi.........
hili taifa lina watu wengi vichaa
Ni wajinga wachache tu, uchagani dini dominant ni roman catholique na elctHata uchagani wapo kumbe wajinga? Mbona huwa mnasema humu kuwa wachaga wamesoma sana? Au hawakuelimika? Pole zao!
Ndiyo, hata vifo vya Mecca huwa ni kafara!Macca kila mwaka watu kibao wanakufa hija je nayo ni kafara?
Mbona pamoja na hayo lkn watu hawajawahi kuacha kwenda...
Kwahiyo mwamposa ni roho mtakatifu [emoji849][emoji849][emoji849]
Aliomba kibali ndyo na alikubaliwaAliomba kibali cha hilo kusanyiko?
Kama hakuomba kibali awekwe ndani na taratibu za kisheria zifuatwe..
Kama aliomba kibali na kupewa basi aachiwe mara moja na jeshi la polisi Moshi liwajibike..
Nakataa kabisa kabisa wazo lako la kutokuyakanyaga mafuta. Waache wanywe hata hiyo JIK kwa sababu, hiyo ndiyo imani yao. Wadhani ni mara ya kwanza hao watu wameyakanyaga hayo mafuta?? Tuchunguze chanzo ni nini kwanza wala sio kuanza kunyima wasikanyage mafuta.Pia umakini mkubwa unahitajika kwa waumini, kuona ni wapi pa kwenda. GOD is omnipresent yupo kila mahali. Popote ulipo ukimuomba anasikia. Hakuna haja ya kukanyaga mafuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye imani hakuna mwafrika ,mwarabu au muhindi idadi ya wanaokufa kwa kufanya hija mecca hatuwezi Kuwaita wajinga wapo warabu ,wazungu nkAfricans tuna shida sana mkuu
Yaani freedom ya kwanza tunayotakiwa tuipate ni freedom of mind
Our minds are entangled
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliomba kibali ndyo na alikubaliwa