Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Sijataka kujua imetoka wapi na designer gani kahusika ila swali li wazi.Hii suti imekuwa exported from QATAR na international designer wamehusika hapo
Naona bora wangemwachia Manala tuKwa maoni yangu Mpoki anaharibu hii shughuli. Anaongea maneno mengi yasiyo na maana.
Tujifunze kwwnye hili.
waliovaa sox wamechemkaAngalia waliovaa soksi na hawa ambao hawajavaa uone nani kapendeza.
Mcheki Zana, na Gyan uone, ndiyo ni fashion ila inategemea na mguu mkuu.
Sio mbaya ni aina Fulani ya comedy..Kwa maoni yangu Mpoki anaharibu hii shughuli. Anaongea maneno mengi yasiyo na maana.
Tujifunze kwwnye hili.
Wangevaa viatu vya aina hii ingependeza bila soksi ila vile walivyovyaa kama vya samaki.waliovaa sox wamechemka
Hata mimi,basi Kagere apewe mchezaji bora na Chama apewe goli boraKwa mshambuliaji bora nilitegemea kagere apewe..
Au kwa vile umeweka avatar yake.(joke)Kwa mshambuliaji bora nilitegemea kagere apewe..
Nadhani kuna kipengele watampa..Hata mimi,basi Kagere apewe mchezaji bora na Chama apewe goli bora
Bado kipengele cha mfungaji boraNadhani kuna kipengele watampa..
Dizaini jamaa anakuboa sana..Mpoki karudi tena....
Chaguo lilikuwa Rashidi JumaTuzo inayofuata. Mchezaji bora mdogo wa mwaka
Washiriki.
1.Salamba
2. Juma Rashid
3. Paol Bukaba.
And winner is Rashid Jumah