MoSimba Awards (Tuzo za Mo Simba)

MoSimba Awards (Tuzo za Mo Simba)

Triple C alitosha kuwa mchezaji bora. Ila poa tu MK14 kanyakua
 
Wanaopiga kura ni mashabiki sasa hakuna wa kulaumiwa
Hizo lawama za Okwi kutokuwa kwenye category yoyote wangezitoa mapema ila kusema sasa hivi ni unafiki na kujenga mgawanyiko.

Wachezaji wote walisaidia timu kwa pamoja hata kama hawatapa tuzo wote ila walikuwa na mchango mkubwa.
 
Dah sawa mtaalamu wa suti..
ucjezan nakuingiza chaka mkuu,shuhudia mwenyewe
1559242067266.jpeg
1559242136405.jpeg
 
Back
Top Bottom