MoSimba Awards (Tuzo za Mo Simba)

MoSimba Awards (Tuzo za Mo Simba)

Let's give the credit when it's jue japo mm yanga ila naona tunasafari ndefu yakuwakamata wenzetu, simba wameanza kutuacha mbali sana tusipo jipanga tukabaki kupiga polojo itakula kwetu.
We mzee una akili,mfano Simba wakicheza kweli na PSG hilo gap lake mtahangaika nalo sana kwa miaka mingi
 
Acha ujinga wewe shabiki maandazi! Ungekuwa wewe ungekubali kuvalishwa sare tena zenye nembo kama watoto wa shule?
acha ushamba chura wa jangwani

hawa ni real madrid wamevaa sare ya suti simba ni kina nani mpaka wasivae

NI WIVU TUUU

021_hugo_boss_real_madrid_2017.jpeg
 
Mkuu siyo exported , Sema imported from Qatar Mkuu . Kuna tofauti kati ya Export na Import
Mkuu inategemea, Jamaaa aliyesema exported yupo sahihi maana yeye yupo huko Qatar hayupo huku bongomagu!
 
Back
Top Bottom