KUCH KUCH
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 1,327
- 966
Umejamba na kuchafua Hali ya hewaWatuoneshe basi magoli bora waliyofungwa 5+5+5+4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejamba na kuchafua Hali ya hewaWatuoneshe basi magoli bora waliyofungwa 5+5+5+4
We mzee una akili,mfano Simba wakicheza kweli na PSG hilo gap lake mtahangaika nalo sana kwa miaka mingiLet's give the credit when it's jue japo mm yanga ila naona tunasafari ndefu yakuwakamata wenzetu, simba wameanza kutuacha mbali sana tusipo jipanga tukabaki kupiga polojo itakula kwetu.
Wewe mwenyewe siyo wa maana utaona maana yoyote sasa?
Hujawahi kuwaona Barca,Madrid,Man utd wakiwa ktk Suti kama hizo??kama hujawahi Basi tumekusamehe sio kosa lakoAcha ujinga wewe shabiki maandazi! Ungekuwa wewe ungekubali kuvalishwa sare tena zenye nembo kama watoto wa shule?
Watuonyeshe basi na magoli bora waliyofungwa kule Congo na Misri,5+5
Kuna viumbe watakufanya ucheke hata kama umenuna , thanksSemeni basi kuwa hata hii MO award tumenunua.
KufaMijitu imevalishwa suti za kufanana kama mates au wapambe wa harusi teh! teh!
Achana na zuzu huyo. Hajui kitu zaid ya yangaHujawahi kuwaona Barca,Madrid,Man utd wakiwa ktk Suti kama hizo??kama hujawahi Basi tumekusamehe sio kosa lako
kwa kukusaidia tu..Hii suti imekuwa exported from QATAR na international designer wamehusika hapo
acha ushamba chura wa jangwaniAcha ujinga wewe shabiki maandazi! Ungekuwa wewe ungekubali kuvalishwa sare tena zenye nembo kama watoto wa shule?
We jamaa wa dar haswaa.. upo buzy na fashion, Kwa mwanaume fashion ni moja tu.. CASH.Wangevaa viatu vya aina hii ingependeza bila soksi ila vile walivyovyaa kama vya samaki. View attachment 1112474
Sawa nimepokea malalamiko yako.We jamaa wa dar haswaa.. upo buzy na fashion, Kwa mwanaume fashion ni moja tu.. CASH.
Mkuu, salama lakini?Mimi sioni la maana hapa ni ujinga ujinga tu unaendelea.Mikia mna shida sana aisee!
Jifunze kwanza uandishi siyo kupanua kwapa wakati hujui lolote.Vya mana huonwa na wenye mana sasa ww huna mana pia
Wanaopiga kura ni mashabiki sasa hakuna wa kulaumiwa
Wewe ni mkuda unauliza swali kikuda na umejibiwa kikuda na mkuda kikuda zaidiSijataka kujua imetoka wapi na designer gani kahusika ila swali li wazi.
Mkuu inategemea, Jamaaa aliyesema exported yupo sahihi maana yeye yupo huko Qatar hayupo huku bongomagu!Mkuu siyo exported , Sema imported from Qatar Mkuu . Kuna tofauti kati ya Export na Import
Hili Jibu ni nyoko, akirudi anakuja na zahera povu kusadooLichukue mkasagie ile Tshirt ya Zahera na kofia yake itoe Juice la jasho mnywe na wachezaji wenu.