MoSimba Awards (Tuzo za Mo Simba)

MoSimba Awards (Tuzo za Mo Simba)

Mwarabu wa Dubai ananivunja mbavu aisee... So far mambo yako poa..
 
Tuzo ya Mshambuliaji bora sasa.

Washiriki
Okwi
Kagere
Bocco

Samata anakwenda kukabidhi tuzo.
And winner is John Bocco
 
Kwa mshambuliaji bora nilitegemea kagere apewe..
 
waliovaa sox wamechemka
Wangevaa viatu vya aina hii ingependeza bila soksi ila vile walivyovyaa kama vya samaki.
shoes%20.jpg
 
Tuzo inayofuata. Mchezaji bora mdogo wa mwaka
Washiriki.
1.Salamba
2. Juma Rashid
3. Paol Bukaba.

And winner is Rashid Jumah
 
Tuzo inayofuta. Mchezaji bora wa kike. Simba queens.
Tuzo haina washiriki, ila alishachaguliwa. Tuzo anakabidhi Flaviana Matata.

Mshindi Mwanahamisi Omary Shurua
 
Back
Top Bottom