Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
AiseeWangevaa viatu vya aina hii ingependeza bila soksi ila vile walivyovyaa kama vya samaki. View attachment 1112474
Labda watampa category ya mgawa pikipiki..Wamfanyie fair okwi aisee
MK14Player of the year.
Washiriki.
1. Chama
2. Kagere
3. Bocco
Mshindi ni KAGERE
Unashangaa tena mkuu.Aisee
Yanga acha chuki za kikeLabda watampa category ya mgawa pikipiki..
Ushindani umekuwa mkubwa sana this season, kwa hiyo tusilalamike, wala kuona kwamba okwi hatendewi hakiKwa Nn Simba Haijamweka Okwi Kwenye Category Yoyote Ile?
Wewe mwenyewe siyo wa maana utaona maana yoyote sasa?Mimi sioni la maana hapa ni ujinga ujinga tu unaendelea.Mikia mna shida sana aisee!
[emoji3][emoji3][emoji3] Wewe ukiona tu mtu anapinga mnachofanya unajua ni vyura kama wewe..Yanga acha chuki za kike
Hahhaha we jamaaLabda watampa category ya mgawa pikipiki..
Wanaopiga kura ni mashabiki sasa hakuna wa kulaumiwaUshindani umekuwa mkubwa sana this season, kwa hiyo tusilalamike, wala kuona kwamba okwi hatendewi haki
Umekuja uchi huku lazima ukiona vichwa tako lipanuke... Vyura topeniMimi sioni la maana hapa ni ujinga ujinga tu unaendelea.Mikia mna shida sana aisee!
Wewe mwenyewe na timu yako hamna la maana. Ni ujinga ujinga tu mnaendeleza.Mimi sioni la maana hapa ni ujinga ujinga tu unaendelea.Mikia mna shida sana aisee!
Hizo lawama za Okwi kutokuwa kwenye category yoyote wangezitoa mapema ila kusema sasa hivi ni unafiki na kujenga mgawanyiko.Wanaopiga kura ni mashabiki sasa hakuna wa kulaumiwa
ucjezan nakuingiza chaka mkuu,shuhudia mwenyeweDah sawa mtaalamu wa suti..