MOSSAD: "A" "BE" na "CHE" ya mashetani wenye ithibati ya mauaji

MOSSAD: "A" "BE" na "CHE" ya mashetani wenye ithibati ya mauaji

Leo tutatazamia wauaji (ASSASSINS) wa Mossad. Karibuni tujuzane. Uzi tayari umeshakuwa updated.
 
Mithali 24:6 Kwa maana kwa mwongozo stadi utaendeleza vita vyako,na kwa wingi wa washauri kuna wokovu.(Mossad Motto)
 
Ahsante sana Mkuu. Natumai tutakuwa pamoja kwenye mwendelezo. Kuna mengi sana ya kuleta hapa...
Nafuatilia, vipi utafanya kuindeleza pale pale ulipoishia? nikimaanisha nikitaka kujua muendelezo wake nifungue thread hiihii?
 
Marekebisho kidogo mkuu: Motto wa Mossad unasema "BY WAY OF DECEPTION THOU SHALT DO WAR" inasemekana pia wameutoa ktk MITHALI 24:6 na siyo Mithali 11:4. Hatahivyo kwenye kitabu cha Mithali 24:6 imeandikwa "KWA MASHAURI YENYE AKILI UTAFANYA VITA. Kwasababu hiyo neno 'DECEPTION' wanalifananisha na neno 'WISEDOM' ambapo neno 'Wisedom' limetumika kwenye biblia na siyo neno 'deception' ILA DECEPTION lina maana kubwa sana kwa Mossad, ndiyo maana Afisa mmoja wa Mossad aliwahi kusema kuwa 'DECEPTION is a weapon to every war'.
 
Back
Top Bottom