Mossad, IDF pamoja kusaidiwa na Marekani na Uingereza wameshindwa kuwarudisha mateka kutoka Gaza, atayekaleta mateka kupewa $5M

Mossad, IDF pamoja kusaidiwa na Marekani na Uingereza wameshindwa kuwarudisha mateka kutoka Gaza, atayekaleta mateka kupewa $5M

We si ndi wale huwa mnasema Allah yuko wapi? Hivi wewe unadhani Mungu anawatest watu wakati upi? Wakati unakula bata au wakati unapata tabu? Hebu niletee Mitume wa Mungu nani alikula bata bila kupitia tabu? Unajua Mungu hata waislamu huwa anawapa mitihani kama hio ili awaonyesheni nani ni mfata dini kweli na nani mnafiki. Huwezi kwenda peponi wewe hujapitia mitihani ndio mana pepo ina daraja kama hujui.

Hao hata wawe 100,000 ni bora wabaki duniani au waende peponi?

Akili mali sana eti ushindi ni kuwauwa watu we hujui hao walio uliwa Mungu anawapenda wameuliwa bila hatia? Hivi wewe watoto na wanawake unawahesabu ndio Hamasi 😄 🤣 Akili zako kama za nyau anajisifu mwamba kujitoa yuko Gaza kumbe anaishi kwenye bunker sa ivi.
Hilo punguani lingine😂😂
 
NI AIBU KWA ALLAH NA MUDI PAMOJA NA WAISLAM BILLION 2 KUSHINDWA KUIFUTA TAIFA TEULE LA ISRAEL.

YAANI ALLAH MUNGU WA KIARABU MUNGU MUWEZA WA YOTE ANAOGOPA WAYAHUDI?

Adiosamigo ITR gTurn
Kasome pepo ya Mungu anapata anaye kula bata au anaye pitia mitihani. Kosome mitihani walio pitia Mitume kuna mmoja alikuwa mjinga kama wao anamuliza Mussa wewe Mungu wako yuko wapi na akajisifia yeye ndio Mungu wa Mussa mkubwa. Time ilipofika akasema nimeamini Mungu wa Mussa na Haroun kwanza alikuwa kama wewe.
 
We si ndi wale huwa mnasema Allah yuko wapi? Hivi wewe unadhani Mungu anawatest watu wakati upi? Wakati unakula bata au wakati unapata tabu? Hebu niletee Mitume wa Mungu nani alikula bata bila kupitia tabu? Unajua Mungu hata waislamu huwa anawapa mitihani kama hio ili awaonyesheni nani ni mfata dini kweli na nani mnafiki. Huwezi kwenda peponi wewe hujapitia mitihani ndio mana pepo ina daraja kama hujui.

Hao hata wawe 100,000 ni bora wabaki duniani au waende peponi?

Akili mali sana eti ushindi ni kuwauwa watu we hujui hao walio uliwa Mungu anawapenda wameuliwa bila hatia? Hivi wewe watoto na wanawake unawahesabu ndio Hamasi 😄 🤣 Akili zako kama za nyau anajisifu mwamba kujitoa yuko Gaza kumbe anaishi kwenye bunker sa ivi.
Muhammad sio mtume wa Mungu wa Israel chief yeye ni mtume wa jini aitwae Allah
 
Inawezekana hao Mateka hawapo tena Gaza, ukute walishaondoshwa na kupelekwa Syria au Iran. Kwa udogo wa Gaza wangeshajulikana walipo
Mateka wapo hapo hapo Ghaza wafate masharaiti ya hamas uone hao mateka kama hawataibuliwa hapo hapo intelijensia ya israhell jeshi la Israhell yalikua over rated sana ila kiuhalisia tumejionea
 
Inajulikana kuwa mateka wamo ndani ya mahandaki. IDF hawawezi kuyalipua hayo mahandaki au kujaza humo sumu ya kuua magaidi ya Hamas maana kuna mateka.
Hao mateka wametumiwa na Hamas kama kinga au ngao.

Kuna wakati iDF walitaka kujaza hayo mashimo maji ya bahari, kupuliza sumu au kuyalipua ili kuua kila kilicho ndani, ndugu wa mateka na raia wakaandamana kwa wingi kupinga, hilo likasitishwa.

Kusingekuwa na mateka kama ngao, hayo mashimo na kila kilichomo yangeshateketezwa kitambo sana
Sasa si watumie Ile intelijensia yao maana tuliambiwa wao ndio wana iq kubwa duniani
 
Kuna taarifa mbaya imetoka ICC:

The International Court of Justice issued arrest warrants against Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and former Defense Minister Yoav Galant

Source: RT

Adiosamigo
and 100 others
Mheshimiwa leo Israel wanalalamika eti mahakama inawasaidia magaidi 😄 🤣 Sa ikiwa Shetanyahu na Gallant sio magaidi ni nani wao? Israel yote ni magaidi afu wanadai wanapiga magaidi.
 
Wanaukumbi.

Ni aibu kubwa IDF jeshi ambalo tuliaminishwa kuwa lina kila kitu makomandoo bora kabisa duniani na majingambo ya Netanyahu kuwa tunaingia Rafah kuwarudisha mateka wetu haamna wa kutuzui leo hii Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu anasema Israel inatoa zawadi ya $5m kwa yeyote atakayemrejesha mateka kutoka Gaza.

Kwa maaan hiyo jeshi limeshindwa, Mossad, wameshindwa, Marekani na Ulaya wameshindwa.

Sasa wanawaomba wale wanaowapiga mabomu na kuuwa watoto wao leo hii wanataka wawasadie kuwapa pesa wawaonyeshe walipo mateka watawapa pesa.

Hamas, walisema kweli kuwa hata mfanye nini hamuwezi kuwapata mateka wenu.

Inaweza kuwa njia sahihi
Hata Osama bin Laden alipatikana njia hiyo
 
Kawaida vipi yaani unaweza kuwauwa kina Haniyeh,Nasrallah unashindwa kujua mateka walipo mwaka na kitu sasa na Gaza yote
Ipo chini ya Israel.
Osama walimtafuta kwa miaka mingi lakini walishindwa hadi walipo ahidi donge nono
 
Muhammad sio mtume wa Mungu wa Israel chief yeye ni mtume wa jini aitwae Allah
Ulikuwa kwenye kikaa cha majini mpaa ukapewa habari hio. Toka lini jini walikuwa wanaitwa Allah. Hivi neno jini ni lugha gani? Kiswahili au kiarabu? Sa kama kiarabu vipi jini wawe na majina mawili. Hivi wewe kichaa au.
 
Kuna taarifa mbaya imetoka ICC:

The International Court of Justice issued arrest warrants against Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and former Defense Minister Yoav Galant

Source: RT

Adiosamigo
and 100 others
Na wa Hamas pia...
👇
"Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu imetoa hati za kukamatwa Alhamisi hii, Novemba 21, dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na aliyekuwa Waziri wake wa Ulinzi Yoav Gallant. Lakini pia dhidi ya mkuu wa tawi la kijeshi la Hamas Mohamed Deif...
 
Tatizo tukitoa ushauri hawaufanyii kazi sijui wahusika waliopo humu hawaufikishi sehemu husika ushauri wetu!?

Kamateni mastaa wa action and mystery movies kutoka India, China, bongo, Hollywood, Nollywood nk waende wakakamilishe mission hiyo mara moja
 
Yani mtu anaeuwa wajeda uyu watoto wamama afu uyu anaeuwa wajeda wavamizi ndio Gaid !! Uyu aneuwa vitoto vuchanga anazuiya chakula maji matibabu eti uyu ndio sio Gaid uyu anajitetea lkn japo sasa ICC imetoa mwanga nani GAID. Kichekesho zaid cha awa Wazayuni wa kule mvuti msongola chalambe wanajenga Hoja malq nyingi utawasikia wachokozi Hamas kisa utawasikia wanasema oct 7 wao ndio mamevamia Israel wameshupaza shingo apo apo sasa rabda tuwaulize kisheria lile eneo ni la palestine lilelile waodai Hamas kavamia wavamizi ni wao Israel kujenga ktk eneo kisheria ni miliki ya wapalestina na yale makazi yote kalibu na GAZA kupitia sheria za UN utambuliwa kama makazi yaliokinyume na sheria na utakiwa kubomolewa kwamujibu wa sheria sio blaa blaa awa wala migebuka awana ujuzi wa mambo ya kisheria utawasikia Hamas ndio wameanzisha ugomvi kwa kuvamia!!! Sio Israel ndio kaazisha kwa kuvamia eneo kinyume cha sheria na kujenga manyumba kwenye eneo la wapalestine. Kwenda kumtoa mvamizi wangu leo mm ndio mvamizi na mvamizi ndio kavamiwa haaaa kweli haki ipo mbinguni duniani akuna haki miemko tu inawaongoza .
 
Dunia hii ina watu wanashangaza sana. Netapussy akamatwe haraka ahukumiwe pale ICC

We mbusiii The Mongolian Savage umbwaa. Safari hii netapusssy achimbe handaki kubwa lakujificha.
 
Ulikuwa kwenye kikaa cha majini mpaa ukapewa habari hio. Toka lini jini walikuwa wanaitwa Allah. Hivi neno jini ni lugha gani? Kiswahili au kiarabu? Sa kama kiarabu vipi jini wawe na majina mawili. Hivi wewe kichaa au.
Adui wa Allah ndie aliyempa Muhammad utume. ulishawah kusoma hapo mkuu
 
Back
Top Bottom