Mossad, IDF pamoja kusaidiwa na Marekani na Uingereza wameshindwa kuwarudisha mateka kutoka Gaza, atayekaleta mateka kupewa $5M

mm sipo TZ atuzungumzii matukio mojamoja ukitaka tuzungumze ya kwetu pia tunayo ya kwenu ya kutomb,,,,,,q yapo ya Arbino,, jumapili hiii nenda ukafanye ibada acha upuuzi kuchafua iman za watu itachafuliwa yako mwisho usiende kufanya ibada,, unatafuta sababu usipelele sadaka.. ukimzungumzia mtume MUHAMAD ujue unazungumzia Dunia ya kISlamu sio TZ so nikisema kesi za ma ASKOFU nazungumzia Dunia mana izo kesi zimeenea kila seeem. Habari zake zimeenea kila seem.
Mi pia sipo tz chief nipo nsalala Oman hawa mbwa nawaelewa sana wala wasikupe shida. Hapa uarabuni ukipewa picha wanachowafanyia dada zetu wala hutaongea nao.
 
Yule mshenz alibaka katoto acha kumtetea we fala. We unaweza kuoa katoto ka miaka tisa? Na kwanini kila muislam anamswalia mtume alifanya kosa gan
We ulikuwepo siku ya bi Aisha alipozaliwa? Na ulikuwepo siku kaolewa? Au we ndio wale wauza kanga mnauza maneno mitani bila dalili. Mnaweza kutupa dalili 💯 lini Aisha alizaliwa? Na lini aliolewa. Vipi ulazimisha point ambayo huna dalili, ili mradi ujifurahishe wewe na wanafiki wenzako.
 
Mi pia sipo tz chief nipo nsalala Oman hawa mbwa nawaelewa sana wala wasikupe shida. Hapa uarabuni ukipewa picha wanachowafanyia dada zetu wala hutaongea nao.
Kwani wadada zetu walitekwa kupelekwa uko au niwenyewe wameenda ushawai kumiliki mfanyakazi wa ndani mdada popote iyo Salala ipo mpakani na Yemen wadada wapi unawatetea bwashee awa awa uku kwetu wanawalisha maboss zao mavi na mikojo yao. Kama wamekutana na Bedui sisi tunashukulu mungu ni mwema wanyooshwe zaid. Ujasikia uku boss akilalamika kulishwa mavi na mdada wa kazi. Waambie warudi tanzania sio jangwa wakalime maindi waache kwenda kwawatu.
 
Ktk nchi nizijuazo zinalinda wadada wa kazi OMAN namba 1 kwanza kuleta dada lazima upewe kibali ukiwa bila mke upewi kibali wafanyakazi wanayo taasisi yao yakulalamika wadada kutoka kondoa ambao ni waislamu wapo wengi na wanajivunia kuwepo uko wengi wamejenga kwao kwa miaka miwili tu ya kufanyakazi shida wadada wapo wakifika uko wanakosa rungu kama walishaoea uku apo mdada anataka kuondoka uku mwajili katozwa pesa kibao kufika palepale alipo. Iyo ata apa Dar ipo mfanyakaz akitoka kijijini umemtumia pesa laki nauli akifika baada ya week1 anataka kurudi kijijini kwaiyo umgalamie tena pesa alejee kwao ikiwa utataka japo basi apige kazi mwez 1 au 2 apate nauli apo utata unapoanzia yeye anataka kuondoka akifika kwao akiulizwa na mzazi vip umerudi chakusema utasikia sipewi chakula ohh wanakula wao kikibaki ndio napewa hoo kazi akuna kupunzika adi saaa nane usiku napigwa mama!!!! awezi sema ukweli kuwa mama rungu kule sijui nitalipataje na nimeliacha uku uku kijijini!!!!
 
Kwani wadada zetu walitekwa kupelekwa uko au niwenyewe wameenda ushawai kumiliki mfanyakazi wa ndani mdada popote iyo Salala ipo mpakani na Yemen wadada wapi unawatetea bwashee awa awa uku kwetu wanawalisha maboss zao mavi na mikojo yao. Kama wamekutana na Bedui sisi tunashukulu mungu ni mwema wanyooshwe zaid. Ujasikia uku boss akilalamika kulishwa mavi na mdada wa kazi. Waambie warudi tanzania sio jangwa wakalime maindi waache kwenda kwawatu.
Bro biashara zangu kwa kiasi kikubwa nimezifanyia uarabuni tangu miaka 2002 na nimeizunguka hilo eneo kweli kweli mijin na baadhi ya miji midogo. Mungu kanijalia kuzunguka sehemu kubwa ya dunia kiukweli katika jamii ni mbwa kabisa kwa wageni ni waarabu. Na katika wote bora waoman kidogo. Kuna mshikaji tulimuokoa siku moja kule sharia walichokuwa na wanamfanyia ni Mungu anajua. Ni ubalozi wao ulimuokoa. Ogopa mtu anakuona kafiri kwanza kabla ya kukuona binadamu.
 
We ulikuwepo siku ya bi Aisha alipozaliwa? Na ulikuwepo siku kaolewa? Au we ndio wale wauza kanga mnauza maneno mitani bila dalili. Mnaweza kutupa dalili 💯 lini Aisha alizaliwa? Na lini aliolewa. Vipi ulazimisha point ambayo huna dalili, ili mradi ujifurahishe wewe na wanafiki wenzako.
Unajua siku hiz Google imetusaidia sana kuijua Qur'an. Yule mbakaji alimpenda katoto kakiwa na miaka sita akaja kukachukua kakiwa na miaka tisa eti kaoa. Na kuna watu wanamuita mtume.
 
Mi pia sipo tz chief nipo nsalala Oman hawa mbwa nawaelewa sana wala wasikupe shida. Hapa uarabuni ukipewa picha wanachowafanyia dada zetu wala hutaongea nao.
Kama unona tabu kwanini hurudi kwenu bondeni
Haohao wanokupa mshahara unawaita mbwa
Uno ushahidi au mdomo mchafu mnasababishi kukataliwa kuja
Mimi sijawahi kuleta kutoka kwa watu unawapa mshahara mzuri na chumba cha ac na choo ,chakula kizuri halafu anatukana
Jaribuni kujifunza ya kuwa dunia sio nyinyi wako wengi wanataka kazi
Learn how to behave first
 
Mi sifanyi kazi wewe kenge mi nafanya biashara mi cjawah kuajiriwa labda wewe. Tena mbaya zaid wanaofanyiwa huu ushenz ni waafrika waislam waliochukuliwa huko nyumbani kwasababu ya umasikin wao.
 
Bro biashara zangu kwa kiasi kikubwa nimezifanyia uarabuni tangu miaka 2002 na nimeizunguka hilo eneo kweli kweli mijin na baadhi ya miji midogo. Mungu kanijalia kuzunguka sehemu kubwa ya dunia kiukweli katika jamii ni mbwa kabisa kwa wageni ni waarabu. Na katika wote bora waoman kidogo. Kuna mshikaji tulimuokoa siku moja kule sharia walichokuwa na wanamfanyia ni Mungu anajua. Ni ubalozi wao ulimuokoa. Ogopa mtu anakuona kafiri kwanza kabla ya kukuona binadamu.
Sasa si waenda nchi za wazungu wewe ukijijua sio mulslamu unaendaje kwa waislam uku moyoni kwako umejazwa chuki na mchungaji wako afu uwende kwao ukafanyanye kazi inawezekanaje kwanza wajipambanie nafsi zao kutoa chuki aliepandwa kisha ndio akafanyekazi wadada sio waislam wasiende kwa waislamu lkn wadada waislamu wapofree kwenda popote kufanya kazi nafsinzao azikujazwa chuki za kipumbavu kama wadada wa kigalatia. Tumeona wafanyakazi wakiuwa watoto w maboss wao wafanyakazi ata dar kunashida nyingi lkn mpo kwenye project yenu ya kiDini kulenga waarabu waislamu utarukaruka tu kama Maharaje lkn chuki ndio inawasumbua kama ni tabiya mfano umepewa wadadawetu wamemlisha MAVI Mkoja boss wake bila sababu yyte mdada km uyu utamtetea kwa kigezo kipi kama ww unachuki zako.
 
Unajua siku hiz Google imetusaidia sana kuijua Qur'an. Yule mbakaji alimpenda katoto kakiwa na miaka sita akaja kukachukua kakiwa na miaka tisa eti kaoa. Na kuna watu wanamuita mtume.
Hahahaha kumbe ni Google sa Google na maneno ya kanga tofouti yake nini. Kila kilicho andikwa kwenye Google kumbe ni kweli 🤣 😂

We mimi sikujibu tena nimeisha ona huna elimu, ikiwa kama unategemea Google ndio ikisema neno ndio 💯

We si ndio huyo mwenye majina 30+ nimekushtukia, Shoga mkubwa wewe.
 
Mi sifanyi kazi wewe kenge mi nafanya biashara mi cjawah kuajiriwa labda wewe. Tena mbaya zaid wanaofanyiwa huu ushenz ni waafrika waislam waliochukuliwa huko nyumbani kwasababu ya umasikin wao.
Haina haja kutukana ,
I dont care what you do ,you don't know me so you dont have right to talk about my country if don't have any evidence
No one forces them to come,we have choices from all over the world
Your behavior shows you have long way to learn how to behave
We pay them better than you
If you think they should not come stop them ,we will not lose anything
 
Sasa si waenda nchi za wazungu wewe ukijijua sio mulslamu unaendaje kwa waislam uku moyoni kwako umejazwa chuki na mchungaji wako afu uwende kwao ukafanyanye kazi inawezekanaje kwanza wajipambanie nafsi zao kutoa chuki aliepandwa kisha ndio akafanyekazi wadada sio waislam wasiende kwa waislamu lkn wadada waislamu wapofree kwenda popote kufanya kazi nafsinzao azikujazwa chuki za kipumbavu kama wadada wa kigalatia. Tumeona wafanyakazi wakiuwa watoto w maboss wao wafanyakazi ata dar kunashida nyingi lkn mpo kwenye project yenu ya kiDini kulenga waarabu waislamu utarukaruka tu kama Maharaje lkn chuki ndio inawasumbua kama ni tabiya mfano umepewa wadadawetu wamemlisha MAVI Mkoja boss wake bila sababu yyte mdada km uyu utamtetea kwa kigezo kipi kama ww unachuki zako.
Huyu mwongo mkubwa
He talks about oman i dont he has been he should which city he has visited in oman if he is telling the truth
people like a full of fitna
 
Waraabu mzee niwatu smart sana acheni propaganda na machuki yenu adi kwenye chup izi chuki ndio umaskini mkuu tuliopewa kama ww una chuki unawachukiaje Waarabu embu ona mwenye akili utosheka tu kuona picha na akajua ukweli ona ktk mpila ligi kuu ya Saud Arabia chunguza wale mashabiki utaona watu weusi wengi sana wakiwa na furaaa sana wanaAfya nzuliii uwingi wao uwanjani unatoa ishalla kuwa kizazi chao kipo ok akijaasiliwa kimkakati kama jilan zao Israel kizaz cha waethiopia wadada wao wengi wamefungwa uzazi kimya kimya mdada akienda hospital anaumwa mguu malaria macho wanatumia iyo nafasi kumfunga uzazi Israel inakashfa kubwa ktk ili. lkn watu weusi ktk eneo la Waarabu wapo salama salmini tunawaona kwamacho yetu AZAM TV vile wanaonesha ligi yao LIVE hii propaganda yenu ishakufa kibudu unajidai hooo mm nafanya Biashara najua najua nipo uku acha uwongo uko zako nyakato unadai upo kwa Waraabu. Michuki tu kenge maji tafuteni pesa waarabu tumeona Qatar na kwengine jamaa mitajili wakubwa wanamiliki timu kubwa Ulaya wazungu miungu yenu inatumwa na waarabu nyie bado mpo ktk propaganda zakizamani acheni ushuzi Dunia imebadilika watu sasa Simu wanazo wanaona mambo ukweli wakatae wenyewe kujua lkb simu inatoa majibu saiii TV zamani ilikuwa shida jamiii kuvimiliki lkn sio sasa. Ona mlivo wapumbavu WaIsrael wanawatumia watu weusi kwaajili ya vita lkn awataki wazaliane lkn nyinyi mnawapamba Waarabu wanawasamini watu weusi nyinyi ndio mnawafanyia propaganda chuki n ujinga juuu kazi kwenu labda mnalipwa kuwaingiza watu weusi kwenye janga mana mkisifia nchi inayofifisha uzao wao mnataka watu waende uko uko Israel kutafuta maisha wakawe wagumba. Sio kwaraabu kule watazaliana watuweusi nanyi mnapinga ndio manake!!!!!
 
Huyu mwongo mkubwa
He talks about oman i dont he has been he should which city he has visited in oman if he is telling the truth
people like a full of fitna
He should give names of town he visited
 
Back
Top Bottom