israel hawajapata uhuru? wakati wanatambuliwa na umoja wa mataifa wakati huohuo wafilisti(wapalestina) hawatambuliwi na UN kama ni nchi bali ni authority tu. ukisema kuwa israel inamtegemea marekani ni kwamba tu hauelewi. Marekani kama unavyoiona kuna wayahudi milioni 10, hao ni wayahudi wengi kuliko wale wanaoishi israel (milioni nane 8). na wale wanaoishi marekani wengi walichagua fani nzuri, ni wamiliki wa viwanda, ni wanasiasa wakubwa, ndio matajiri wakubwa kupita wengi, na ndio wanaoshikilia uchumi wa marekani. wengi wapo chama cha republican (nadhani unaelewa impact yake trump akiingia madarakani). wana organisation wanachanga hela kila iitwapo leo kupeleka israel, kujenga majengo mapya ukanda wa magharibi na kufanya mambo ya msaada kwa wayahudi waishio israel. wengi walioko marekani, canada, agentina, ulaya etc huwa wanakuja kuserve katika jeshi la israel walau miezi sita hadi mwaka mmoja. hivyo hata hao milioni 10 waishio marekani huwa wanakuja kuserve kwenye jeshi la israel kwa mwaka mmoja. na wana dual citizenship, ni wamarekani na wakati huohuo ni waisrael. uchumi mkubwa duniani wamekamata wao, influence kubwa ya kisiasa wao, wakati mwingine utaona kama marekani wanafanya kitu kumbe ni wayahudi wanafanya kitu. hauwezi kuwakwepa, tulia tu hamna la kufanya.