Mossad wamehack simu za wanajeshi na wanausalama wa IRGC na hii ndio meseji wanaowatumia mara kwa mara

Ujumbe mzuri sana huu katika kuvuruga saikololojia ya adui.
Wangewafowadia na Jwtz ili wajitafakari.
 
Hii inatisha sana....na Kuna moles wamo humo kati yao wakiwa kwenye payroll za CIA na Mossad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…