Mossad wapo vizuri kwenye intelijensia

Mossad wapo vizuri kwenye intelijensia

and 100 others

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2023
Posts
3,707
Reaction score
12,367
Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.

Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.

Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.

Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....

Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
 
Pole Sana.

FaizaFoxy bado anaimani kwenye Hamna.

Ili uamini kuwa Hezbollah na Hammas watamshinda Myahudi àmbaye Nyuma Yake yupo Marekani na washirika wake Basi lazima itakuwa na tatizo kûbwa la uelewa WA mambo.

Hauna tofauti na Wale walokole wa Mwamposa àmbao wakipewa Mafuta wanaamini watamshinda Bakhresa Kwa utajiri
 
Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.

Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.

Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.

Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....

Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.

Hezbollah chief Nasrallah’s fatal underestimation of Israel ( Arab News)​

Hezbollah chief Hassan Nasrallah has miscalculated, and in the process dragged Lebanon into a bloodbath that the already impoverished, isolated, and desperate Lebanese can ill afford. The world is trying to help him save face, although first he must agree to many concessions before Israel lets him off the hook. But what brought him here?

Nasrallah fell into the classic trap of an undisputed leader who lives alone and surrounds himself with yes men. Since 2006, he has rarely been seen in public. Those who get to meet him are taken, blindfolded, through a maze of security measures that lead to the militia chief.

Detachment from the general population, coupled with a personality cult that Nasrallah has so carefully cultivated over the past two decades, limited his awareness of reality. When justifying his “war in support of Gaza,” the Hezbollah chief did not measure cost and effect. He simply justified going to war by saying that, on the Day of Reckoning, “the Almighty will ask each one of us what did you do to help Gaza?” Mixing faith with reason is hardly a recipe for success.

Nasrallah then started believing his own propaganda, that Israel was weak, that his militia was invincible, so much so that – in one speech – he threatened to attack Cyprus, a member of the EU.

Israel, however, was not on its last legs. Its economy was not in tatters. Its population was not decadent and unwilling to fight for the homeland, or shrinking due to emigration. Only hit pieces in “resistance axis” media underestimated Israel’s strength and resilience.
The “axis of resistance” overestimated its own power. Missiles are not new. Saddam Hussein produced hundreds of Al-Hussein and Al-Abbas ballistic missiles and threw up to 40 of them at Tel Aviv. While they are a threat, especially to civilians, these weapons cannot annihilate Israel or any other country, nor can the wedding photography drones that Hezbollah and Iraqi militias launch on Israel with a small load of explosives.

Among the axis, its leader Iran understood the limitation of its military. In the two instances that it launched missiles at an American base in Iraq and on Israel, Tehran choreographed the attack carefully and made it known that it was a one-off event designed to save face.

The Houthis in Yemen, too, realized that Israel was capable of hurting them much more than they could inflict damage on Israel. Since their drone killed an Israeli and almost cost them control of the port of Hodeidah, the Houthis have launched only one ballistic missile, which the “axis of resistance” spent a week praising and analyzing how it presumably “changed the course of the war.”

Only Hamas’s Yahya Sinwar and Nasrallah did not understand that “the unity of the fronts” was more wishful thinking than reality. Iran never came to the rescue of Hamas or Hezbollah. These proxies were designed to fight and die for Iran to secure its interests on the cheap, not to drag it into costly direct wars.
 
Wacha tuone ni nini kitafuata.
Kwasasa sina cha kusema ni kusubiri muda uamue.
Japo nikiri kuwa Mossad kwa awamu hii ameupiga mwingi ninyooshe mikono kwa sasa🙌🙌🙌🙌🙌🙌.
Wacha tuone nini kifuatacho.
 
Mmmh mkuu hapa una taarifa nyingi za propaganda.
Kuna sehemu taarifa zako zinapwaya.
 
Wacha tuone ni nini kitafuata.
Kwasasa sina cha kusema ni kusubiri muda uamue.
Japo nikiri kuwa Mossad kwa awamu hii ameupiga mwingi ninyooshe mikono kwa sasa🙌🙌🙌🙌🙌🙌.
Wacha tuone nini kifuatacho.

Mkuu Kosugi, nini kitafuata unafikiri......Iran haitaki kabisa vita, haiwezi kufanya lolote.....Umesikia hotuba ya Ayatollah lakini? Kaloa na baada ya hotuba kapelekwa mafichoni....
 
Kabisa , tusubiri kinachofuatia.
 
Kabisa mkuu, wajipange.
Lakini naona waliomuuza Nasrallah ni Lebanese wenyewe haswa upande wa serikali ya Lebanon.

Kuna watu wametumika ku track movement za Nasrallah.

Taarifa za IDF/Mossad ni kwamba walizijua miezi kabla, ikawa ni timing tu, akajitoa alikojificha akaenda makao makuu, wakaona hapo hapo! Mabomu waliyotumia itabidi waunganishe mwili wake......Anyway anafurahi mabikira...!
 
Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.

Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.

Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.

Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....

Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
Mimi sio mtaalam wa mambo ya kivita, ila bila intelligence kubwa kwa mpinzani wako, sahau ushindi hata kwa bahati mbaya. Yesu akasema, yeye ajengaye lazima ahesabu gharama.
 
Mkuu Kosugi, nini kitafuata unafikiri......Iran haitaki kabisa vita, haiwezi kufanya lolote.....Umesikia hotuba ya Ayatollah lakini? Kaloa na baada ya hotuba kapelekwa mafichoni....
Iran sasa hivi inakataa kujihusisha na vita kwasababu kuu moja tu.
Uchumi,Masoud Peshkizian sio muumini wa vita kabbissa.
Japo waziri wa mambo ya nje wa Iran alisema hatoacha kuiunga mkono Hizbollah.
Kwasasa naona hali imekua ngumu sana haisomeki.
Kumficha Ayatollah Khomeini ni jambo muhimu maana Mossad wana agents hadi Iran.
Na mara nyingi wameonesha kufanya mauaji ndani ya ardhi ya Iran.
Tukiri tu kwasasa Hizbollah haina namna.
 
Back
Top Bottom