unasema helicopter tuu?
Hivi mkuu unafikiri ni rahisi kutengeneza helicopter?
Kuna parts nyingi sana kukamilisha ndege, kuna maelfu na maelfu ya parts mbali mbali, vifaa vya ki electronic, systems mbali mbali, humo kuna microchips, kuna sensors, kuna radars na kila aina ya takataka, fanya research ndogo tu kutafitie gari ina spare parts za aina ngapi, gari imepaki kisa umeagiza spare part toka Japan, sasa imagine mna sanctions, ina maana inabidi muanze kutengeneza parts zenu, hizo ni parts baadhi tu, sasa chukulia gari zima....
Hata iPhone wanatengenezewa vifaa vingine vya simu kama vioo n.k na kampuni nyingine, pia wanatumia semiconductors kutoka kwa kampuni zingine....
Sio rahisi ku design kila kitu from scratch, radar tu ya ndege kuitengeneza ni jopo la engineers wenye uwezo uliotukuka, vipi ndege nzima?
Radar tu utakuta kuna Chip kutoka Taiwan, chip ingine kutoka US, ingine kutoka Germany....
India tu, imechukua miaka 30 kufanya tafiti kutengeneza ndege yao ya kivita sijaju kama walishamaliza mara ya mwisho ilikuwa mwaka juzi wanamalizia... Na hao hawakuwa na vikwazo ...