Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hivi ni lini Israel imepigana vita peke yake tu bila msaada wowote ule wa Marekani?Yote yanawezekana...
1 - Usaliti wa serikali ya Lebanon kwa kuingiza majasusi ndani ya Hezbollah kwa msaada wa Mossad
2- Usaliti katika serikali ya Iran, Mossad kuingiza majasusi wake, arab jews ni kama waarabu tu lakini ni jews.
Mambo ni magumu..
Mimi naamini kabisa wakiachwa tu wapigane peke yao, huo ndo utakuwa mwanzo wa mwisho wao!
Imagine tu hivi sasa pamoja na msaada wa Marekani na washirika wake, bado hayo makundi ya wanamgambo yanawachachafya.
Na kusema ukweli, hawawezi wakawamaliza Hamas, Hezbollah, wala Wahouth.
Na ipo siku hata viongozi wao [Israel] watauliwa tu.
Inaweza isiwe leo, kesho, au hata keshokutwa. Ipo tu siku watamla kichwa kiongozi wa Israel.
Hii vita haina mwisho. Ni kuviziana tu na kulana vichwa.
Naamini hata huko Tel Aviv akina Netanyahu hawalali kwa amani sasa hivi.