JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Hawa wajomba ni balaa, unaweza kukuta wana watu wao ndani kabisa ya, Hezbollah,Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
Sio upuuzi wa bongo, yani idara ya, intelijensia, haina means ya ku track mtu mpaka waombe msaada wa kampuni ya simu! Hii, ni, aibu,
TISS,inatakiwa iwe na uwezo covertly, wa kuingilia mfumo wowote, bank, simu, nk, bila kujulikana, bahati, mbaya, wameajili vilaza kisa tu, mtoto wa Fulani, wanajua kuvimbisha makalio na kula bia!
Rejea wale vijana wa TISS, vijana name, wenye siraha, walishindwa kumkamata mfanyabiashara Zakaria! Wakaishia kulambwa risasi wao na kujeluhiwa