Mossad wapo vizuri kwenye intelijensia

Mossad wapo vizuri kwenye intelijensia

Tishio la Netanyahu kwa Iran jana kuwa hakuna mahali popote ndani ya Irani ambapo "mkono mrefu" wa Israeli hauwezi kufika. Walikuwa wanamaanisha Ayatollah Khamenei na uongozi wote wa Iran unafikika.
Kiburi hiki anakipata kutoka Marekani.
 
Wakishambulia wakaondoka na wao watashambulia...

Hii vita hakuna anayekubali unyonge, hao Hiuthi ndio kabisaa hata wapewe manati wanaingia vitani.
Hofu yangu ni Houthi ipo siku watashambulia ndege za abiria zinazopita anga la Yemen ili kupata attention. Niliwahi kupanda Qatar kuangalia Ile route map naona tunapita Yemen daah, nikapata hofu Sana
 
Hofu yangu ni Houthi ipo siku watashambulia ndege za abiria zinazopita anga la Yemen ili kupata attention.
Houthi ndio watatumika hata na Iran kufanya lolote..

Jamaa wapo moto haswa.. wale wakipata hata nuclear kesho utasikia imelipuliwa...
 
Houthi hamnazo. Ndo maana Saudia anajihami sana. Hivi ISIS bado wapo?
Ni strategy waliyoamua kuitumia wao.

Wao ukiwazzingua wanakuzingua, hawajifikirii mara mbili, hawaangalii ni US, Israel whatever....

Wanaamini katika vitendo na majibu ya haraka...

ISIS hata kama wapo hawana nguvu tena...
 
Sio kila arab news za kuziamini.
Kuna trusted source sio kila source ni validated source.
Hayo mambo ya bikra 72 yanaingiaje?
Turudi katika mada acha makando kando.
Unahitaji source ya nini hapo ikiwa mwandishi kafanya analysis yake kwa kutoa mtazamo wake binafsi?Mwandishi amechakata taarifa hizo kutoka sources mbalimbali hivyo alichokitoa ni maoni yake binafsi.
Tutahitaji source pale tu tunapotoa taarifa za tukio
 
Unajielewa we jamaa!?
Hapo kuna habari kibao za mashudu.
Na habari kama hizi zinatakiwa kuwepo na credible source.
Sio mawazo yako binafsi ama analysis yako binafsi.
 
Iran wanafadhili Ugaidi kwa faida ya Nani?
Hebu niulize kidogo hapa, Kumbe Iran wanafadhili ugaidi? kwahiyo Iran ni nchi ya kigaidi, itakuwa Yemen na syria pia ni nchi za kigaidi sio?

Vp hukusu Saudia na UAE na wengine wasiokuwa na uadui na US pamoja na Israel? hawa sio magaidi au ni magaidi baridi? ... I guess mwenye akili ni rahisi kutambua kuwa nchi yoyote ya kiarabu isiyokuwa rafiki wa US huwa ni gaidi!

Vita kuu ya dunia imeshaanza na sasa tupo katika hatua ya vita ya nguvu ya habari, tuombe Mungu isivuke hapo lakini tukae tukijua kuwa vita ya Nuclear itakuwa ni hitimisho tu la vita kuu ya dunia.

Kuna clip ya Pears Morgan akiwa kwenye debate na Mehdi Hassan ambapo Pears anaonekana kuteleza na kukiri kuwa Ukrain na Palestina hawafanani kwa kuwa mmoja kati yao ni nchi ya kidemokrasia na pia ni washirika wa magaharibi tofauti na huyo mwengine. So this is what justifies mauaji ya wapalestina while at the same time rebuking the invasion of Russia in the Ukraine soil.

Waafrika wenzangu, tuacheni unazi wa kijinga na kitumwa kwa nchi za magharibi!!!
 
Mkuu sio taarifa zangu....Ni arab News....jaza zako basi kuziweka sawa.....Taarifa ya hakika....Jamaa amekufa.....na kwa upande wa Imani anafurahia mabikira 72! Hizo hazina ubishi....
Last line. Mabikira 72[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Toa trusted source basi....Drive ya Hezbolah ni ya kidini....Ideology yao yote imesimama Kiimani....ndio maana nasame yeye kafa na hana cha kupoteza....anafurahia bikra 72....
Endelea ku piga kichwani mkuu,akiendelea piga na kwenye pu*****u[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Last line. Mabikira 72[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nyie watu ni waajabu kabisa! yaani mnaamini mtafufuliwa muishi tena, mtaimba huko nakadhalika, yote hayo yakiwa ni dalili ya wazi ya kile mlichopewa hapa duniani kuwa ni mfano dhaifu tu wa kile mtakachopewa mbinguni i.e. maisha ya duniani ni ya mpito kule mtaishi milele, raha na furaha zote za duniani huambatana na kero na dhiki za maisha. Ila yote hayo yatakuwa perfected mkienda mbinguni, hapo naamini tunakubaliana 100%.

Swali ni je nani kati yenu anabisha kuwa starehe kubwa ya mwanadamu hapa duniani ni starehe ya mahusiano kati ya mwanamke na mwanaume? ni moja katika starehe kama sio pekee ambayo mwanadamu amewekewa masharti na kikomo cha kuiendea i.e. kwanza iwe ndani ya ndoa na pili kuna limit ya wenza unayoweza kuoa, kwenu nyinyi mnasema ni mmoja tu! ... hii nistarehe pekee iliyoambatana na wivu wa ubinafsi kwa yule unayestrahe nae (mke/mume), naamini hakuna anayetamani kushare mke wake na wanaume wengine. Hili utaliona hata kwa namna ambavyo mtu anaweza kuwa na wivu wa mwenza wake hata juu ya mtu ambaye alishapita kabla yake.
Sasa je ni mke gani anayekupa amani zaidi ya umiliki wako peke yako zaidi ya mke unayemuoa akiwa bikra? na akaendelea kuwa ni wako peke yako coz mbinguni hakuna kuchukuliana mke.

Sasa swali ni nani kati yenu wanaume wa kikristo ambaye hatamani ku-enjoy starehe hii tena katika uhalisia wa kweli na sio huu mfano dhaifu tena wenye limitations tele tulizopewa hapa duniani? ... acheni unafki. Moja ya sababu kwanini katika nchi za kiislamu zinaa ipo chini kuliko nchi za kikafiri ni kwa kuwa watu wanajua kile wanachokiacha leo watakipata kesho.

Sisi tunasubiri mabikra 72 waliotakasika huko peponi, nyinyi endeleeni kupiga wadangaji 1,000 wenye UTI hapa duniani
 
hivinuna
unasema helicopter tuu?
Hivi mkuu unafikiri ni rahisi kutengeneza helicopter?

Kuna parts nyingi sana kukamilisha ndege, kuna maelfu na maelfu ya parts mbali mbali, vifaa vya ki electronic, systems mbali mbali, humo kuna microchips, kuna sensors, kuna radars na kila aina ya takataka, fanya research ndogo tu kutafitie gari ina spare parts za aina ngapi, gari imepaki kisa umeagiza spare part toka Japan, sasa imagine mna sanctions, ina maana inabidi muanze kutengeneza parts zenu, hizo ni parts baadhi tu, sasa chukulia gari zima....

Hata iPhone wanatengenezewa vifaa vingine vya simu kama vioo n.k na kampuni nyingine, pia wanatumia semiconductors kutoka kwa kampuni zingine....

Sio rahisi ku design kila kitu from scratch, radar tu ya ndege kuitengeneza ni jopo la engineers wenye uwezo uliotukuka, vipi ndege nzima?

Radar tu utakuta kuna Chip kutoka Taiwan, chip ingine kutoka US, ingine kutoka Germany....

India tu, imechukua miaka 30 kufanya tafiti kutengeneza ndege yao ya kivita sijaju kama walishamaliza mara ya mwisho ilikuwa mwaka juzi wanamalizia... Na hao hawakuwa na vikwazo ...

hivi unazionaga tambo za iran lakini? iran wakioneshaga matambo yako utasema hakuna kitu ambacho hawajui kutengeneza hapa duniani
 
Back
Top Bottom