Mossad wapo vizuri kwenye intelijensia

Mossad wapo vizuri kwenye intelijensia

Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.

Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.

Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.

Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....

Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
Tishio la Netanyahu kwa Iran jana kuwa hakuna mahali popote ndani ya Irani ambapo "mkono mrefu" wa Israeli hauwezi kufika. Walikuwa wanamaanisha Ayatollah Khamenei na uongozi wote wa Iran unafikika.
 
Mkuu sio taarifa zangu....Ni arab News....jaza zako basi kuziweka sawa.....Taarifa ya hakika....Jamaa amekufa.....na kwa upande wa Imani anafurahia mabikira 72! Hizo hazina ubishi....
Sio kila arab news za kuziamini.
Kuna trusted source sio kila source ni validated source.
Hayo mambo ya bikra 72 yanaingiaje?
Turudi katika mada acha makando kando.
 
Maana kwasasa hakuna namna.
No way out for Hizbollah.
Wana traitor ndani ya kundi, tena sio mmoja, na shughuli ya kutafuta mchawi it's not easy.

Kama Mossad wana intel za movement ya Nasrallah na makamanda wale wote wa Hezbollah, si la kushangaza wakawa wanafahamu silaha zao zilipo.
 
Tishio la Netanyahu kwa Iran jana kuwa hakuna mahali popote ndani ya Irani ambapo "mkono mrefu" wa Israeli hauwezi kufika. Walikuwa wanamaanisha Ayatollah Khamenei na uongozi wote wa Iran unafikika.
Kwa hilo siwezi kubisha kwasababu Iran ina wayahudi takriban laki nane waishio kama raia wa Iran.
Na wengine wamo hadi katika serikali ya Iran.
Sasa huwezi jua hao hao kumbe ndio Mossad.
 
Wacha tuone ni nini kitafuata.
Kwasasa sina cha kusema ni kusubiri muda uamue.
Japo nikiri kuwa Mossad kwa awamu hii ameupiga mwingi ninyooshe mikono kwa sasa🙌🙌🙌🙌🙌🙌.
Wacha tuone nini kifuatacho.
Umekuwa muungwana sana Sheikh! Kuukubali ukweli sio udhaifu bali ni ujasiri. Kiukweli IDF wameupiga mwingi this time.
 
Sio kila arab news za kuziamini.
Kuna trusted source sio kila source ni validated source.
Hayo mambo ya bikra 72 yanaingiaje?
Turudi katika mada acha makando kando.

Toa trusted source basi....Drive ya Hezbolah ni ya kidini....Ideology yao yote imesimama Kiimani....ndio maana nasame yeye kafa na hana cha kupoteza....anafurahia bikra 72....
 
Umekuwa muungwana sana Sheikh! Kuukubali ukweli sio udhaifu bali ni ujasiri. Kiukweli IDF wameupiga mwingi this time.
Hakika.
Na hapa ukitizama hili tukio la kuuliwa kiongozi mwenye ulinzi mkubwa limewaacha watu kinywa wazi.
Inamaana kuna msaliti amepandikizwa ambaye atakua anafahamu movement zote za Hizbollah.
Lazima mpowe aisee msitikisike.
Maana mkitikisika mmeisha.
 
Kwa hilo siwezi kubisha kwasababu Iran ina wayahudi takriban laki nane waishio kama raia wa Iran.
Na wengine wamo hadi katika serikali ya Iran.
Sasa huwezi jua hao hao kumbe ndio Mossad.
Mossad toka mwanzo imewaweka hadi mashehe na maimam wayahudi... wanaenda na kuswali swala tano na wengine wanaenda hadi Hijja... mission yao ni kukusanya taarifa kabisa. Kama mnamkumbuka hata yule kiongozi wa ISIS alidaiwa kuwa ni Myahudi na baadhi ya watu..
 
Watulie kwa sasa. Kwa Washia Kiongozi wa Kidini kama Nashrallah au Khamenei ni kama Mungu kwao, Hezbollah kumpata Imam mpya alafu wamtii vyema si jambo dogo wajipange kwa siku nyingine wakiforce watapigwa na Israel na Lebanon itaingia kwenye Civil war...

Serikali ya Lebanon imeanza kuwazuia Iran kuingia nchini mwao
 
Dah kwakweli hisbullah wametuangusha wengi ambao tupo against na israel wauaji wakubwa wa watu wasio na hatia ila hata iweje mtu muovu Allah hatamuacha afanikiwe kwa siku zote
Mungu hawez geuka maneno yake yeye mwenyewe ,Mungu sio kigeu geu ,tangu enzi za Ibrahim,isaka na yakobo aliwapa ahadi ya kulaani watakao walaani na kiwabarik watakao wabariki,,hivyo upande wangu Kwa kuegemea Imani yangu iloonuesha kabsaa Kuna jitu litapigika
 
Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.

Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.

Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.

Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....

Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
nasraaa alikuwa mjinga sana, ni mfano tosha wa kobazi wanaopiga sana domo wakati hawana nguvu yeyote. mioyo yao imejaa uchafu mtupu.
 
Toa trusted source basi....Drive ya Hezbolah ni ya kidini....Ideology yao yote imesimama Kiimani....ndio maana nasame yeye kafa na hana cha kupoteza....anafurahia bikra 72....
Humu ndani hizo mada za Iran na ulipizaji kisasi kambi za Iraq tulijadili sana na kukatoka uthibitisho Iraq USA kuna maafa yalitokea kwa askari wake.
Hivyo siwezi jadili tena trivial issues.

*Hizbollah ni political organisation sio religious organizations.
 
Tazama TV series hizi mbili, Tehran na Fauda uone namna Wayahudi walivyojipenyeza huko Iran, Palestina na Lebanon...

Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.

Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.

Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.

Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....

Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
 
Wana traitor ndani ya kundi, tena sio mmoja, na shughuli ya kutafuta mchawi it's not easy.

Kama Mossad wana intel za movement ya Nasrallah na makamanda wale wote wa Hezbollah, si la kushangaza wakawa wanafahamu silaha zao zilipo.

Kama waliuziwa Pager na Walkie Talkies na wakazisambaza, inaonyesha Inteligenze yao mbovu, na walijiamini kupita kiasi, walijisahau mno, na wali underestimate Israel kupindukia....
 
Mossad toka mwanzo imewaweka hadi mashehe na maimam wayahudi... wanaenda na kuswali swala tano na wengine wanaenda hadi Hijja... mission yao ni kukusanya taarifa kabisa. Kama mnamkumbuka hata yule kiongozi wa ISIS alidaiwa kuwa ni Myahudi na baadhi ya watu..
Rais wa Palestina wa Sasa ametokea Familia ya Kiyahudi iliyosilimu... Wayahudi hawaachi Asili hata Miaka 2000 ipite
 
Mossad toka mwanzo imewaweka hadi mashehe na maimam wayahudi... wanaenda na kuswali swala tano na wengine wanaenda hadi Hijja... mission yao ni kukusanya taarifa kabisa. Kama mnamkumbuka hata yule kiongozi wa ISIS alidaiwa kuwa ni Myahudi na baadhi ya watu..
ISIS ni mayahudi wote ndio maana hawajawahi kupigana na israel ...ISIS sio waislamu ni arab jews kabisa wamepigana sana na Hezbollah .

Wanaouliwa ndio wale wenye misimamo ila vikundi vya mamluki vinaishi milele.
 
Humu ndani hizo mada za Iran na ulipizaji kisasi kambi za Iraq tulijadili sana na kukatoka uthibitisho Iraq USA kuna maafa yalitokea kwa askari wake.
Hivyo siwezi jadili tena trivial issues.

*Hizbollah ni political organisation sio religious organizations.

Soma Charter yao mkuu, ingawa waliibadili kuficha hilo...Utasemaje kuhusu Hamas...? Au nikuletee Charter ya Hezbolah.....Itikadi ya dini ni driving force....Na mimi huo ndio msimamo wangu na nina evidence!
 
Back
Top Bottom