and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Sahihi, ndio vita hio, ukipigwa kubali, ujipange.Wajipange kwa wakati mwingine.
Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.

Kabisa mkuu, wajipange.Mkuu tuko pamoja, yani tumepigwa KO round ya kwanza kabisaa..
Wacha tuone ni nini kitafuata.Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
Mmmh mkuu hapa una taarifa nyingi za propaganda.Hezbollah chief Nasrallahβs fatal underestimation of Israel ( Arab News)
Hezbollah chief Hassan Nasrallah has miscalculated, and in the process dragged Lebanon into a bloodbath that the already impoverished, isolated, and desperate Lebanese can ill afford. The world is trying to help him save face, although first he must agree to many concessions before Israel lets him off the hook. But what brought him here?
Nasrallah fell into the classic trap of an undisputed leader who lives alone and surrounds himself with yes men. Since 2006, he has rarely been seen in public. Those who get to meet him are taken, blindfolded, through a maze of security measures that lead to the militia chief.
Detachment from the general population, coupled with a personality cult that Nasrallah has so carefully cultivated over the past two decades, limited his awareness of reality. When justifying his βwar in support of Gaza,β the Hezbollah chief did not measure cost and effect. He simply justified going to war by saying that, on the Day of Reckoning, βthe Almighty will ask each one of us what did you do to help Gaza?β Mixing faith with reason is hardly a recipe for success.
Nasrallah then started believing his own propaganda, that Israel was weak, that his militia was invincible, so much so that β in one speech β he threatened to attack Cyprus, a member of the EU.
Israel, however, was not on its last legs. Its economy was not in tatters. Its population was not decadent and unwilling to fight for the homeland, or shrinking due to emigration. Only hit pieces in βresistance axisβ media underestimated Israelβs strength and resilience.
The βaxis of resistanceβ overestimated its own power. Missiles are not new. Saddam Hussein produced hundreds of Al-Hussein and Al-Abbas ballistic missiles and threw up to 40 of them at Tel Aviv. While they are a threat, especially to civilians, these weapons cannot annihilate Israel or any other country, nor can the wedding photography drones that Hezbollah and Iraqi militias launch on Israel with a small load of explosives.
Among the axis, its leader Iran understood the limitation of its military. In the two instances that it launched missiles at an American base in Iraq and on Israel, Tehran choreographed the attack carefully and made it known that it was a one-off event designed to save face.
The Houthis in Yemen, too, realized that Israel was capable of hurting them much more than they could inflict damage on Israel. Since their drone killed an Israeli and almost cost them control of the port of Hodeidah, the Houthis have launched only one ballistic missile, which the βaxis of resistanceβ spent a week praising and analyzing how it presumably βchanged the course of the war.β
Only Hamasβs Yahya Sinwar and Nasrallah did not understand that βthe unity of the frontsβ was more wishful thinking than reality. Iran never came to the rescue of Hamas or Hezbollah. These proxies were designed to fight and die for Iran to secure its interests on the cheap, not to drag it into costly direct wars.
Wacha tuone ni nini kitafuata.
Kwasasa sina cha kusema ni kusubiri muda uamue.
Japo nikiri kuwa Mossad kwa awamu hii ameupiga mwingi ninyooshe mikono kwa sasaππππππ.
Wacha tuone nini kifuatacho.
Kabisa , tusubiri kinachofuatia.Wacha tuone ni nini kitafuata.
Kwasasa sina cha kusema ni kusubiri muda uamue.
Japo nikiri kuwa Mossad kwa awamu hii ameupiga mwingi ninyooshe mikono kwa sasaππππππ.
Wacha tuone nini kifuatacho.
Ukisoma hata hio post utagundua mwanishi ni muhuni muhuni tu na maneno ya kihuni, its not trusted source.Mmmh mkuu hapa una taarifa nyingi za propaganda.
Kuna sehemu taarifa zako zinapwaya.
Kabisa mkuu, wajipange.
Lakini naona waliomuuza Nasrallah ni Lebanese wenyewe haswa upande wa serikali ya Lebanon.
Kuna watu wametumika ku track movement za Nasrallah.
Mimi sio mtaalam wa mambo ya kivita, ila bila intelligence kubwa kwa mpinzani wako, sahau ushindi hata kwa bahati mbaya. Yesu akasema, yeye ajengaye lazima ahesabu gharama.Nikiri tu kwamba baada ya Hezbollah kukiri kifo cha Sayyed Hassan Nasrallah baada ya shambulizi la ijumaa, naona Mossad wamejipenyeza ndani kabisa ya uongozi wa Hezbollah.
Kiukweli sidhani kama Hezbollah inaweza kupambana tena na Israel.
Hezbollah itulie tu, hii vita wamekwisha shindwa vibaya.
Mimi kama mdau niliyekuwa mchangiaji mkubwa wa nyuzi za kuikubali Hezbollah hapa jamiiforums, nakiri kwamba Mossad ni next level, wametisha kwa hili....
Hezbollah watulie tu, hii vita hawaiwezi.
Iran sasa hivi inakataa kujihusisha na vita kwasababu kuu moja tu.Mkuu Kosugi, nini kitafuata unafikiri......Iran haitaki kabisa vita, haiwezi kufanya lolote.....Umesikia hotuba ya Ayatollah lakini? Kaloa na baada ya hotuba kapelekwa mafichoni....
Maana kwasasa hakuna namna.Kabisa , tusubiri kinachofuatia.
Mmmh mkuu hapa una taarifa nyingi za propaganda.
Kuna sehemu taarifa zako zinapwaya.