Most beautiful MPs 2015-2020

Na Dada yetu Vicky kamata uzuri ulishaisha ama hawa ni young beautiful MP's?
 
Hapo Upendo Peneza anawazidi wote.
Umemtendea haki kuwa No.1
Niliwahi kumuona kabla hajawa Mbunge ni Mzuri mno mno.. halafu ni wale wa Dada wasiopaka Mavitu usoni.. hata Wanja, lipstick hapaki.. yupo Natural sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Dahh!!

So inawezekana kweli mwenyekiti huenda kafaidi sana eehh!!!?

😋😎😋😎😋
 
Beauty is in the eye of the beholder. Wewe ukimuona Zuhura kuwa mzuri, mwingine atasema Rehema ndiye hasa. Zaidi ya hayo, uzuri wa mgombea ubunge siyo mojawapo ya sifa za kuukwaa ubunge. Tutakuwa tumepotea njia sana kama mwezi Oktoba tutawapigia wagombea kufuatana na uzuri wa sura zao. Huenda hao wazuri wakawa mambumbumbu kupindukia. Kwenye mashindano ya Miss World, n.k. ni sawa kuangalia uzuri wa unayemchagua. Mwaka 1985 Mwalimu alilikaripia sana suala hili alipopata fununu kuna watu wanaozungumzia uzuri wa mmoja wa wagombea Urais. Mwalimu akaishia kusema kama mnamuona mzuri mchukueni mkanywe naye chai. Hapa tunajadili mambo mazito ya kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…