Wafuatao ni wabunge warembo zaidi katika lililokuwa bunge la 2015-2020 lililovunjwa mwezi huu June 16
1. Upendo Peneza
Huyu alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA akiwakilisha mkoa wa Geita
View attachment 1484495
2. Halima Bulembo
Huyu alikuwa mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CCM.
View attachment 1484498
3. Bonnah Kalua
Huyu alikuwa mbunge wa jimbo la segerea kwa tiketi ya CCM.
View attachment 1484496
4. Ester Matiko
Huyu alikuwa mbunge wa Tarime mjini kwa tiketi ya CHADEMA.
View attachment 1484497
5. Catherine Ruge
Huyu ni mbunge wa viti maalumu kwa tiketi ya CHADEMA.
View attachment 1484499
Mimi kwa upande wangu nimeona hao tu, ruksa kuongezea katika orodha. Je, wewe kwa upande wako unaona ni mbunge gani mwingine alikuwa mrembo zaidi katika bunge la Ndugai la 2015-2020.