Most expensive schools in Tanzania

Mkuu hebu weka kitabu na maswali manake najiulizaga wenzetu wanasomaga nini
 
Hapo nimekupata mkuu
Kwa kuongeza huwa wanafaya same exam na shule zote duniani zinazotumia IGCSE wanakuwa ranked kinchi,kiafrica na kidunia
nakumbuka aliekuwa miss tanzania 2013 Happyness aliwah kuongoza somo la accountacy dunia nzima 2010 akiwa Laureatte International School
Kuna dogo mwengine alipataga scholarship kwenda kusoma urusi baada ya kuwa best kwenye somo la physics
 
Wengi wanategemea kurithi
 
Hizo ada mbona za kawaida sana ukiconvert kwa Dollar,Comments nyingi humu zinaonesha jinsi Poverty Mentality ilivyowajaa wabongo wengi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alafu sasa watoto waliosoma hizi shule hata wasipofika mbali na kuwa wahuni..uhuni wao sio ule wa Kantalamba au Songea Boys!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna rafiki yangu yeye alisoma DIS,chuo kikuu akaenda Cardiff ada zaidi ya dola elf 30 kwa mwaka
sasa ivi anapokea 3.5M Kampuni moja ya Telecom apa bongo
 
Ila wengi wasomao hapo baada ya miaka kadhaa mbele ndo wanakuja kuwa ma-ceo/director katika makampuni na maviwanda ya baba zao,Hapo wanaandaliwa tusione wanaharibu pesa
 
Kuna rafiki yangu yeye alisoma DIS,chuo kikuu akaenda Cardiff ada zaidi ya dola elf 30 kwa mwaka
sasa ivi anapokea 3.5M Kampuni moja ya Telecom apa bongo
Asante kwa takwimu zako zimesaidia sana hoja yangu kueleweka
 
Kuna wengine hadi chuo tumemaliza hatujafikia gharama za anayesoma chekechea hyo shule ya kwanza.

Mwisho wa siku tumekuwa na fani zetu nzuri tuu
Haijalishi kuwa na fani nzuri,Hao mwisho wa siku ndo wanakuwa wakuu wa vitengo katika makampuni ya baba zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…