Most expensive schools in Tanzania

Most expensive schools in Tanzania

Mkuu umekaririshwa.
Hivi umewahi kukaa na hao watu waliosoma hizo shule?

Nakuambia utaona maturity kubwa na reasoning kubwa sana inafanywa na mtoto wa miaka 16 aliemaliza form six hizo shule kuliko mtu mwenye bachelor degree au masters hasa hizi batch za JK era.

Mkuu ninachokuambia nakijua fika nimewahi kuwa karibu kikazi, kirafiki na ujirani na hao watu.

Sijasimuliwa nimejionea mwenyewe. Kama ukinibishia sana nitakupa angalau kitabu kimoja na sample ya maswali na nitakukutanisha na hao watu.

Hivi wewe ukiwa kidato cha nne unaweza hata kuandika portifolio yako kwa kiswahili achana na kiingereza?

Wewe ukiwa kidato cha nne unaweza kuandika hata program fupi ya computer ya basic arithematics?

Hizo fix za mtaala wa bongo mgumu hata sisi tulipigwa tangu enzi hizo.

Mimi nimefanya kazi na waalimu wa hizo shule na nimekuwa na subordinates kazini ambao wamesoma hizo shule. Pia nimefanya kazi kadhaa na wanafunzi wa hizo shule. Na nimekuwa na wabongo waliosoma mtaala wa kayumba hadi PHD nimeona tofauti kubwa mno kama ardhi na mawingu sio mbingu.
WEWE UMESIMULIWA MIMI NIMESHUHUDIA MUBASHARA.
Mkuu hebu weka kitabu na maswali manake najiulizaga wenzetu wanasomaga nini
 
Hapo nimekupata mkuu
Kwa kuongeza huwa wanafaya same exam na shule zote duniani zinazotumia IGCSE wanakuwa ranked kinchi,kiafrica na kidunia
nakumbuka aliekuwa miss tanzania 2013 Happyness aliwah kuongoza somo la accountacy dunia nzima 2010 akiwa Laureatte International School
Kuna dogo mwengine alipataga scholarship kwenda kusoma urusi baada ya kuwa best kwenye somo la physics
 
Huyu mwanafunzi atakuja kufanya kazi gani ili arejeshe ada aliyosomea? Au kwenye kusomesha hatuangalii faida ya kipesa kulinganisha na mtaji tuliowekeza?

Nadhani kama asipopata kazi UN basi atajitahidi awe fisadi hata kwa msisitizo wa waliomsomesha ili aibe afidie ada aliyosomea.

Elimu nzuri zipo tena kwa gharama affordable.
Wengi wanategemea kurithi
 
Hizo ada mbona za kawaida sana ukiconvert kwa Dollar,Comments nyingi humu zinaonesha jinsi Poverty Mentality ilivyowajaa wabongo wengi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Alafu sasa watoto waliosoma hizi shule hata wasipofika mbali na kuwa wahuni..uhuni wao sio ule wa Kantalamba au Songea Boys!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu mwanafunzi atakuja kufanya kazi gani ili arejeshe ada aliyosomea? Au kwenye kusomesha hatuangalii faida ya kipesa kulinganisha na mtaji tuliowekeza?

Nadhani kama asipopata kazi UN basi atajitahidi awe fisadi hata kwa msisitizo wa waliomsomesha ili aibe afidie ada aliyosomea.

Elimu nzuri zipo tena kwa gharama affordable.
Kuna rafiki yangu yeye alisoma DIS,chuo kikuu akaenda Cardiff ada zaidi ya dola elf 30 kwa mwaka
sasa ivi anapokea 3.5M Kampuni moja ya Telecom apa bongo
 
Ila wengi wasomao hapo baada ya miaka kadhaa mbele ndo wanakuja kuwa ma-ceo/director katika makampuni na maviwanda ya baba zao,Hapo wanaandaliwa tusione wanaharibu pesa
 
Kuna rafiki yangu yeye alisoma DIS,chuo kikuu akaenda Cardiff ada zaidi ya dola elf 30 kwa mwaka
sasa ivi anapokea 3.5M Kampuni moja ya Telecom apa bongo
Asante kwa takwimu zako zimesaidia sana hoja yangu kueleweka
 
Kuna wengine hadi chuo tumemaliza hatujafikia gharama za anayesoma chekechea hyo shule ya kwanza.

Mwisho wa siku tumekuwa na fani zetu nzuri tuu
Haijalishi kuwa na fani nzuri,Hao mwisho wa siku ndo wanakuwa wakuu wa vitengo katika makampuni ya baba zao
 
Back
Top Bottom