Most expensive schools in Tanzania

Uko mlikuaga mnasoma acceleration na pendulum Bob ..?
 
Kweli kabisa huwa wanauelewa mpana sana na wengi huwa watalaam wanaobobea kwenye mambo makubwa makubwa
 
Hio Elimu hakikisha inaleta tija 'exceptional' badae otherwise ni wastage....
Education nyingine ni overrated...
Na mzazi uwe na uhakika na uwezo wako wa kifedha unamtoaje Int.Baccalaureate kumleta Kayumba ama mitaala ya Kibongo?
Akimaliza aunge Chuo nje ya nchi..
 
Tangu nifanye kazi na walosoma nje ya nchi... Nmejifunza kitu...bora aende Masters .. Anakua kashajielewa...huku chini English Medium yatosha
 
Most of these schools are situated in Dar and Arusha. What is the implication on these two regions? ISM have a campus in Arusha.
Because they are for us! Not for you!! So is the regions!!
 
Mleee mtoto katika njia impasayo naye hatooacha hata atakapo kuwa Mzee. Ukikimbia jukumu la kumlea mwanao, shetani atakusaidia kumlea. Mfundishe mwanao kuisikia sauti ya Mungu Na kuitii.
Mfundishe mtoto kuwa Na adabu usimfundishe nidhamu ya woga
Umenena vyema. Wengi wanaogopa hizi shule kwamba watoto watakuwa na malezi Mabaya. sasa kitu cha kujiuliza hivi jukumu la malezi ni la nani?
 
Nimelipa mwezi wa 9 USD 1000 admission, 800 chakula na 1900 fees shule nampeleka mwenyewe hapo Salasala. Kila semester ni 1900
Hii ni primary au? Kwa kweli Feza kwa curriculum yetu ni matawi mengine. Mzazi anayejua umuhimu wa exposure atampeleka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…