Most expensive schools in Tanzania

Huu uzi nimeupenda bure. Unatoa picha halisi ya ukilaza wa wabongo wengi kudanganyana ACSEE na CSEE ni bora kuliko IB.

Hiyo IB NI noma sana na very progressive....!
Mtoto anakuwa anaijua dunia hii vilivyo!!!!
 
Sasa ada milioni 20 au 40 si Heri nijenge nyumba nyingi tu
 
acha kujifariji mjomba, sema huna hela lakini unatamani
 
Mwenye ufahamu juu ya mtaala wa IB ufafanuzi pliz
 
MTU anaelipa ada 65 million per year hawezi kuajiliwa akapewa laki 4.......kuna watu wanalipwa milion 16 per month ....kwnza mshahara ni makubaliano unaweza kukataa [emoji120] sema shida zetu wabongo unalipwa laki 4 afu bado unawaza kuoa
Kwa iyo wenye mshahara wa chini ya laki 4 wasioe?
 
Most of these schools are situated in Dar and Arusha. What is the implication on these two regions? ISM have a campus in Arusha.
Mwanza has Isamilo Ila sidhani kama ni IB ama Cambridge curriculum! A reason nafurahia headquarters za Acacia kuletwa Mwanza itapelekea demand ya such institutions kukua. Ukiangalia vizuri nearly half of the kids in these schools r from expatriates n for Arusha their presence is ernomous. Dodoma will get one very soon.
 

Ukiongea usichokijua kama vile unajua ni kujiabisha..

Nikuulize swali moja..Hivi unajua child protection policies zinazotumika kwenye hizo shule zinazotumia mitaala ya IB na CAMBRIDGE?

Acha kuropoka.
 
Mkuu tayari miaka kadhaa Mwanza kuna MWANZA INTERNATIONAL SCHOOL. Morogoro ipo, Moshi, Arusha, na Zanzibar zipo pia ni IB.

Dar inajulikana zipo kadhaa.
 
Hata hesabu na sayansi wengi ni bure kabisa.
 
Mo ,manji walikua wakishua sana,masela ni hao akina kalaban,dagima 120,master jay,p funky ,omary bakhresa
Umenifanya niikumbuke English ya Dagma 120. Kama kazaliwa nje na zile swagga zake kama Mmarekani
 
nchi za kiafrika tunashida sana yani tunatawaliwa kila eneo,hivi unaanzaje kuruhusu shule ambazo zipo nchini mwako kutumia mitaala ya nchi zingine.
Aisee. Ukianza kuwaza hivi utawaza hata makampuni ya kimataifa yanayotoa huduma yasiwepo sababu kuna kampuni za wazawa zinazotoa huduma kama wao.
Elimu ni biashara mkuu. Anaetaka Necta sawa anaetaka Cambridge sawa pia. Ndo maana haijalazimishwa shule Fulani kutumia mtaala Fulani isipokua za seriikali
 
Alafu akimaliza mshahara 450,000-700,000
 
Shule yangu IST baada ya hapo nikaunga Harvard nikagonga Electrical engineering... Nipo zangu pentagon saivi napiga kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…