kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,491
Mbona unawasahau Mo,Manji,Master J.
Kama unayopesa hizi shule za kata sio za kumpeleka mwanao. Hao uliowataja wenye angalau mafanikio ni wawili kati ya millions.
uongozi ni kipaji haina uhusiano wwte na kusoma shule za seminary au shule za gharamaKwangu seminary za kikatoliki ndo naona shule bora kielimu hata kimaisha kuliko shule hizo za maela MTU aliyetoka seminary ndo naona unakuwa ameiva hasa mfano angalia viongozi wazuri na watu wenye mafanikio nchini kimaisha wengi ni waseminary
Wee wako vzr mno,sasa hao tunawajua tunakaa nao lucas,george and dragon kulewa,na waliorudi kwao ulaya ,asia ukiambiwa kasoma IST si watabisha sana,tuachie hapa ,ngoja nipige kazi babu boy wangu asome hapo ,ambapo baba ake alitamani ila uwezo kuwakataaKwa maono yake yeye anaona wanaosoma hizo shule graduates wake hawana mafanikio kama hizi zingine... ndiyo nikamtolea mifano ya waliofanikiwa.
nchi za kiafrika tunashida sana yani tunatawaliwa kila eneo,hivi unaanzaje kuruhusu shule ambazo zipo nchini mwako kutumia mitaala ya nchi zingine.Toautisha shule za kata kweli hizo hata mimi hakuna motto atasoma hizo ila mimi naongelea shule ambazo angalau kuna balance kati ya malipo ,masomo na malezi.Hata ukiangalia matokeo ya kawaida shule kama MARIAN BAGAMOYO, ST FRANCIS, ILBORU Nk zinafanya vizuri.kwa motto wa kiafrika kulipa fees ya mil 20 kwa mwaka eti ili motto afuliwe nguo, afundishwe kuogelea,kufuata mitaala ya UK kwangu naona ni utumwa bado kuna shule nzuri Tanzania zenye gharama moderate
Tukiwa hatuna uwezo ni utamaduni wetu kuponda. Tutaziponda iPhone Na kusifia TECNO, Tutaponda BMW M3 Na kusifia vitz. Lakini ikatokea tumepewa tuchague zawadi ya bure kati ya iPhone Na TECNO au kati ya BMW Na Vitz ndio utajua mahitaji yetu halisi ya mioyo yetuToautisha shule za kata kweli hizo hata mimi hakuna motto atasoma hizo ila mimi naongelea shule ambazo angalau kuna balance kati ya malipo ,masomo na malezi.Hata ukiangalia matokeo ya kawaida shule kama MARIAN BAGAMOYO, ST FRANCIS, ILBORU Nk zinafanya vizuri.kwa motto wa kiafrika kulipa fees ya mil 20 kwa mwaka eti ili motto afuliwe nguo, afundishwe kuogelea,kufuata mitaala ya UK kwangu naona ni utumwa bado kuna shule nzuri Tanzania zenye gharama moderate
Soma historia ya IST na Shaaban robert,kupitia kitabu cha maisha ya sir andy chandenchi za kiafrika tunashida sana yani tunatawaliwa kila eneo,hivi unaanzaje kuruhusu shule ambazo zipo nchini mwako kutumia mitaala ya nchi zingine.
Hata wewe hutakubali kuona motto wako aliyekuwa na malezi bora karudi likizo nyumbani na kiingereza kizuri ila ni teja.Tukiwa hatuna uwezo ni utamaduni wetu kuponda. Tutaziponda iPhone Na kusifia TECNO, Tutaponda BMW M3 Na kusifia vitz. Lakini ikatokea tumepewa tuchague zawadi ya bure kati ya iPhone Na TECNO au kati ya BMW Na Vitz ndio utajua mahitaji yetu halisi ya mioyo yetu
kuna njia nyingi za upashanaji habari kama wewe umekisoma unaweza nielezea hamna shidaSoma historia ya IST na Shaaban robert,kupitia kitabu cha maisha ya sir andy chande
kiingereza ni lugha kama zingine,kwani mtu akiweza kuongea kiingereza kizuri ndio kinamzuia kuwa teja?Hata wewe hutakubali kuona motto wako aliyekuwa na malezi bora karudi likizo nyumbani na kiingereza kizuri ila ni teja.
Tanganyika curricullum modal yao sio wanayotumia Ilboru hivyo huwezi kuwa pima pamoja.Toautisha shule za kata kweli hizo hata mimi hakuna motto atasoma hizo ila mimi naongelea shule ambazo angalau kuna balance kati ya malipo ,masomo na malezi.Hata ukiangalia matokeo ya kawaida shule kama MARIAN BAGAMOYO, ST FRANCIS, ILBORU Nk zinafanya vizuri.kwa motto wa kiafrika kulipa fees ya mil 20 kwa mwaka eti ili motto afuliwe nguo, afundishwe kuogelea,kufuata mitaala ya UK kwangu naona ni utumwa bado kuna shule nzuri Tanzania zenye gharama moderate
tofautisha utajiri mkubwa na wakati,utajiri wa akina manji ni mkubwa maana yake ulikuwa na full management kwake inakuwa sio kazi kumanage sababu anaajiri watu wenye ujuzi kufanikisha kazi hizo.Mkuu unapoambiwa maji hufuata mkondo ndio kama hivyo vitu duniani kote watu wanaorithi mali ni wachache sana amabo wanashindwa kuzi manage lakini nyingi zinakuwa na msingi mizuri tayari ndio maana zinakwenda kizazi hadi kizaziKumanage Mali ni ugenius mkuu,wengi Huwa wanafeli
Aiseehiyo fees ni gharama ya spaghetti, swimming pool,sausage na wengi wanajifunzia kulamba unga huko,Anamaliza shule hata kufua nguo hajui na ukipata bahati mbaya ukao aliyepitia huko watoto watakuwa wanakula chips kila siku tena za kununua magengeni.kupika na kufua sifuri ila English poa
mtoto wa Nursery kwa chakula tu 950,000 atakuwa anakula nini
Nlikuwa nataka nimpeleke mwanangu hapo nlivyoona hiyo ada nkasema hapana huo uwezo sina kwa sasa
Cornflakes labdamtoto wa Nursery kwa chakula tu 950,000 atakuwa anakula nini
HahahaKumbe hata hajazaliwa
Pigana kidume mtoto asome,shule uipendayo mzaziNina form ya Feza primary ada 5.2M darasa la kwanza.