kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,491
Toautisha shule za kata kweli hizo hata mimi hakuna motto atasoma hizo ila mimi naongelea shule ambazo angalau kuna balance kati ya malipo ,masomo na malezi.Hata ukiangalia matokeo ya kawaida shule kama MARIAN BAGAMOYO, ST FRANCIS, ILBORU Nk zinafanya vizuri.kwa motto wa kiafrika kulipa fees ya mil 20 kwa mwaka eti ili motto afuliwe nguo, afundishwe kuogelea,kufuata mitaala ya UK kwangu naona ni utumwa bado kuna shule nzuri Tanzania zenye gharama moderate
Mbona unawasahau Mo,Manji,Master J.
Kama unayopesa hizi shule za kata sio za kumpeleka mwanao. Hao uliowataja wenye angalau mafanikio ni wawili kati ya millions.