Most expensive schools in Tanzania

nchi za kiafrika tunashida sana yani tunatawaliwa kila eneo,hivi unaanzaje kuruhusu shule ambazo zipo nchini mwako kutumia mitaala ya nchi zingine.
Mkuu..
Hizi shule ni biashara. Na ili ufanikiwe unatakiwa uangalie wateja wako wanataka nini...halafu utafute namna ya kuwarisha...
 
Yaan kuna watu wanasoma mwaka mmoja pesa sawaa na yangu kutoka darasa1 hadi chuo kikuu. Kwel No haki hapa nmejikuta naanza kukumbuka viada vyote nlivyosea tena nmeweka maximum ya juu na gharama zote nahc ndo naharibia hahaha 65M Labda mwanangu tena
 
Yaan kuna watu wanasoma mwaka mmoja pesa sawaa na yangu kutoka darasa1 hadi chuo kikuu. Kwel No haki hapa nmejikuta naanza kukumbuka viada vyote nlivyosea tena nmeweka maximum ya juu na gharama zote nahc ndo naharibia hahaha 65M Labda mwanangu tena
Bei io ya IST ilikua miaka miwili iliopita, Sasa hivi High School ni 100 Million kwa mwaka
 
True story...
Sio mtu anaachiwa urithi duka moja tu baada ya miez sita limefilisika anasingizia ushirikina
 
Wote ni vichwa lakini mazingira tofauti ya ufaulu,IQ inapimwa na mambo mengi mwanafunzi mwenye uwezo afifu akipelekwa Feza ataweza faulu wenzake watamburuza.Dhana ya ufaulu ukiachia mazingira ya kujifunzia Gene za Wazazi zinamchango mkubwa kwa akili ya mtoto na future ya mtoto
 
Feza schools?, niliwahi kusikia ni mil 7+
 
Unachekesha wewe jamaa,,,,rostam ,Mohammed dewji,bakhressa sons,manji,,,na wengine kibao ni alumnus wa huko,,tabia ni ya MTU,,
 
IST. Mwisho wa mchezo. Ile shule bwana acha kabisa. Ila wengi wanaokwenda pale ni wanatokea familia za wanadiplomasia(diplomats), ukizingatia malipo yao yale na marupurupu ya kuishi nchi kama Tanzania ile fedha wanaimudu kuilipa, haiwapi ugumu kama sie tunavyoona ugumu kwetu.
Na wengine ni watoto wa wafanyabiashara wakubwa. Sijajua kama wanascholarship pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…