Most expensive schools in Tanzania

Most expensive schools in Tanzania

Haiwezekani utafute pesa kwa shida halafu mtoto wako asome darasa moja na watoto waliozaliwa kwa mimba aliyopewa beki tatu.

wazazi wasio na uwezo watoto wao hapa
wazazi wenye uwezo watoto wao kule
umasikini hautaki hasira wakuu
 
hivi hatuwezi kuweka hio Cambridge curriculum kwenye hizo shule za kawaida??? msione wazazi wako tayari kulipa hela nyingi ni sababu wanataka watoto wao wapate elimu yenye kiwango cha kimataifa,to close the gap waziri wa elimu angeintroduce hii kitu kwa shule za kawaida,then fees itashuka na kuwa fair kwa wote(wanaopeleka private na wanaosoma kwenye shule za kawaida.
 
kwa zamani labda ila kwa siku hizi sio pazuri huko maana u-Cameron ndo penyewe!
 
Hakunaga TO..kwa shule kama hizo..hahahaaa mungu ana maajabu yake
 
Kwa jicho la kawaida unaweza ukaona ni jambo la kawaida na kujikweza lakini kuna ubaguzi mkubwa sana wa kielimu

Wazungu ni watu wabaya sana

Tunaweza tukalaumu mitaala yetu na watunga sera na wao hawana choice bali kuzungukia humo humo kwenye kapu la syllabus walizopangiwa na mabwana wakubwa........

Wazungu mipango yao kuitawala dunia sio kiuchumi pekee bali kwenye nyanja zote......
We jamaa unatemaga sana sense....bravo
 
hiyo fees ni gharama ya spaghetti, swimming pool,sausage na wengi wanajifunzia kulamba unga huko,Anamaliza shule hata kufua nguo hajui na ukipata bahati mbaya ukao aliyepitia huko watoto watakuwa wanakula chips kila siku tena za kununua magengeni.kupika na kufua sifuri ila English poa
Masikini wanaongopeana sana na kufarajiana.

Mkuu umewahi kusoma hizi shule au kuwafahamu kwa ukaribu kama ndugu watu waliosoma hizi shule?

Mfano ni kama MO Dewji, au yule dogo aliesoma HOPAC kaenda Stanford kisha Harvad. Alie chukua zawadi kwenye shindano la kimataifa la kongamano la wachumi ambae kampuni kubwa USA zinamtaka.
 
Kuna watu wanamaisha jmn..na wengine tunasindikiza tu
 
Back
Top Bottom