Most expensive schools in Tanzania

Most expensive schools in Tanzania

Huo mtaala wa cmbridge ukiletwa kwa santa kayumba vp elm itapanda au itashuka nchini?

itapanda,sababu waliosoma huo mtaala watakuwa wako level moja na wa kimataifa,mawazo yangu tu
 
itapanda,sababu waliosoma huo mtaala watakuwa wako level moja na wa kimataifa,mawazo yangu tu
But nahis itakua changamoto,unajua cambrige curiculum hua wanasoma o level kwa miaka miwili badala ya minne but mtaala wetu bongo miaka minne na bado syllabus haiishi..so mm nahis elim itashuka zaid tubak na mtaala wetu tu
 
Masikini wanaongopeana sana na kufarajiana.

Mkuu umewahi kusoma hizi shule au kuwafahamu kwa ukaribu kama ndugu watu waliosoma hizi shule?

Mfano ni kama MO Dewji, au yule dogo aliesoma HOPAC kaenda Stanford kisha Harvad. Alie chukua zawadi kwenye shindano la kimataifa la kongamano la wachumi ambae kampuni kubwa USA zinamtaka.
Unamuangaliaga Dr. Gwemaka Kifukwe yule wa Uongozi Institute? Product ya IST, ukimuangalia tu utajua akili na exposure yake ni next level
 
Wanaosoma huko hawaombi kazi bali wanaandaliwa kuendesha makampuni kimataifa.
Shule zipo sana Arusha na Dar kwakuwa ndio sehem wanakaa watu wenye pesa na taasisi kibao za kimataifa pamoja na foreign ofisi zakutosha.
Hao watoto wanaandaliwa kimataifa ndio maana hawatumii mfumo wetu wa kuomba kazi Halmashauri.
Ukiwadondosha NYC au London wanatiririka uzungu kama walizaliwa na kukulia hapo.
Hizo ndio shule pekee ambazo ualimu utaupenda ila hawaajiri vilaza
 
nchi za kiafrika tunashida sana yani tunatawaliwa kila eneo,hivi unaanzaje kuruhusu shule ambazo zipo nchini mwako kutumia mitaala ya nchi zingine.
Mkuu ulitaka mtoto wa mgeni au diplomat asome mtaala wetu huu local?

Mawazo kama haya ndio yanaonesha tofauti ya hizi elimu zetu.

Samahani lakini.
 
Unamuangaliaga Dr. Gwemaka Kifukwe yule wa Uongozi Institute? Product ya IST, ukimuangalia tu utajua akili na exposure yake ni next level
Mkuu kiufupi watu wanaongea wasiyoyajua.

Hao watu wapo tofauti sanaaaa na waliopata elimu yetu hii ya KKK.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mafisadi ndio wananinyima raha.
Hapana buana siyo kila aliyesoma huko ni mtoto wa fisadi.....
Teh teh teh teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
But nahis itakua changamoto,unajua cambrige curiculum hua wanasoma o level kwa miaka miwili badala ya minne but mtaala wetu bongo miaka minne na bado syllabus haiishi..so mm nahis elim itashuka zaid tubak na mtaala wetu tu

nilichokua namaanisha tu copy mtaala wao,ambao miaka miwili kwa olevel inatosha,ni lazima watakua wameangalia ndani ya hio miaka miwili watoto watakua wamesoma yote yanayotakikana kusoma,....halafu mkuu kusoma shule miaka mingi sio sawa na kupata quality ya education,
 
Back
Top Bottom