Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
We jamaa unatia huruma.Hakunaga TO..kwa shule kama hizo..hahahaaa mungu ana maajabu yake
Unawezaje kuwashindanisha hao watu wakati wanafanya mitihani tofauti kabisa kimaudhui na kila kitu?
Unafikiri huyo TO wenu nikimpa mtihani wa ICT wa shule ya mtaala wa IB au Cambridge anaweza kupata hata 5%? Kwa wote wa grade(class) moja kama wote form six?