Most Influential Young African

Aisee mkuu nakubali mi miaka kumi ijayo nataka ni struggle niwe kama au zaid yako jarida la forbes linihusu we ni mhenga wangu i mean my role model

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Umri wao kama ifuatavyo:-

Ali Kiba (42)
Jokate (36)
Nancy Sumari (39)
Flaviana Matata (34)

Bado ni vijana inategemea unawatazama vipi. Idadi ya watoto 5 kila mmoja na mama yake haimaanishi ni kikongwe.
Haaaaa jokate kumbe Ana 36 duh balaaa, na alikiba kumbe mzeee
 
Alikiba kaindluence nini?? Hamna hata kijana mmoja aliyemtoa kimuziki akajulikana au hata mtu aliyefanikiwa kiasi fulani akamtaja kiba kama role model, hamna! List hii ya ndondo cup nafikiri.
 
Alikiba kaindluence nini?? Hamna hata kijana mmoja aliyemtoa kimuziki akajulikana au hata mtu aliyefanikiwa kiasi fulani akamtaja kiba kama role model, hamna! List hii ya ndondo cup nafikiri.
Hahahahahahaaaaa! Ni mtazamo wako, hata hivyo nauheshimu...
 
Sijui wanaangalia vigezo gani...
Ila napingana na Lulu kuwepo kama actress sababu hata hizo movie anazofanya sijui ni zipi toka baada ya kupata ile tuzo
Nancy sumari huo ujasiriamali anaofanya usiioonekana ni upi? Angalau mama wa shule direct impact yake inaonekana
Harriet Paul currently anafanya vizuri sana kuliko flaviana matata, kapanda majukwaa ambayo ni dreams kwa models wa western countries achilia mbali Africa.
 
Kwenye hiyo list ni Daimond tu anastahili kuwepo, na wengine wanaostahili hawawekwa wapo huku mtaani wanainfluence kubwa mno kwa vijana wenzao NA jamii kwa ujumla.
Hata wamewaza nini eti Lulu naye yumo...hmm!!!
 

Kwanza Hongera sana Ontario , pia naunga mkono hii list ya huku ya hao kina Lulu siyo size yako kabisa,ingekuwa ni demotion.

Huwenda mwakani wanaweza kumweka hata Hamorapa...
 
Hahaha na amber lulu hujamuona?
Tumpe miaka miwili Gigi, atakuwa 'influensho' kikweli kwelii. Mwendo anaoenda nao si haba, mark me words. Huyo Lulu ni Elizabeth Michael 'Mjelajela', anastahili kuwepo kwenye list kwa maoni yangu.
 
Ontario kafanyaje?
 
Hongera sana Mkuu hakika unastahili kuwa hapo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…