Ingekua ni hivo mlivokaririshwa kuwa korona inaua sana watu,hospitali za dar es salaam zingekua zimezidiwa maana kila siku maelfu wapo uwanja wa mkapa bila barakoa wanaangalia mpira.
Yanayoandikwa mitandaoni ukija mtaani hayapo kabisa
Kumbe kina Nkapa, Maalim, Kijazi, jiwe, Dr. Mpango ni wa mitandaoni?