The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,070
- 13,511
Wee kumeri unaogopa kufa!!Utaanza wewe na bibi yako, pumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee kumeri unaogopa kufa!!Utaanza wewe na bibi yako, pumbavu
Mwezi wa nne graph itapanda sana.Tanzania imetoa mutations ya Covid-19 virus ambayo ina mabadiliko na nguvu mara kumi ya mutations za kirusi hiki ambazo ziliwahi kutokea duniani. Imagine mkusanyiko wa kumzika Magufuli uliofanyika wiki hii bila ya kuchukua tahadhari yoyote ile!🚶🚶🚶
Unasema walikuwa na Afya wakati unaona watatu kati yao ni vibonge kupitiliza, mmoja alikuwa na tatizo la moyo la muda mrefu na hapo hatujajua kama walikuwa na sukari, presha n.k kuongezea juu ya uzee
Leo ni siku ya 8 baada ya kuanza mrudikano ule..unadhani ni lini wataanza kufa km bata?Na mrundikano ule. Watu watakufa kama bata.
Bado siku 3 uingine Mwezi wa 4...Yetu macho na hio graph ya kupanda...Mwezi wa nne graph itapanda sana.
Avae barakoa na akome kujiweka karibu kwa ujinga wa kumuenzi Magu.Tumeombee sana Mama yetu Rais wetu Samia Suluhu hii pressure aweze kuihimili.
Maana madhara ya corona sio ya kiafya bali zaidi kitaarifa maana pasingekua na vyombo vya habari na mikono wa wafanyabiashara wakubwa nyuma yake wala hakuna ambaye angejua au kuwa na hofu ya Corona maana ni kitu cha kufikirika zaidi na kutengenezwa kifikra bila ya uhalisia wowote. Tumuombee apate ujasiri wa kupambana na hawa mbwa mwitu hatari
Avae barakoa na akome kujiweka karibu kwa ujinga wa kumuenzi Magu.
Kila mtu aishi maisha yake,hii biashara ya kuombeana wakati taratibu za kufuata zinajulikana haina maana
Utu tumie oicha za hao bata wakiwa wanakufa na kuzikwa .sio porojo nyingiiii wakati misiba hatuioniNa mrundikano ule. Watu watakufa kama bata.
Mficha maradhi kifo humuumbua. Natabiri kuwa hata yeye atakufa kwa Corona kama ataendelea kuipuuzia Corona. Corona ina utaratibu wake wa ajabu sana, ina wivu na inapenda kutawala. Ukikataa kuidhibiti ni lazima ikutawale. It started in Burundi!
Kama unaogopa jipige lockdown ndani km wazungu na vaa barakoa tatu tatu.Hata kama nimepata mafua makali, homa, nikabanwa mbavu, nikashindwa kupumua, serikali ikakomaa hakuna kumpima kama ni corona, labda nikafa kimya kimya bila kusikika kuwa nilikuwa hata naumwa, nk? Bado unao waita wa mtaani watakuwa tu wanamadai ya hovyo kama hayo?
HayatI jiwe aliwahi kusema watanzania si wajinga kihivyo.
Hautakuwa na biashara za majeneza, sanda au kusafirisha maiti wewe?
Mshindwe na mtepete!
Kama unaogopa jipige lockdown ndani km wazungu na vaa barakoa tatu tatu.
Sisi life as normal
Unaongea as if wewe uko nje ya uwanja wakati upo dimbani na huyo unaemtabiria, tumia akili.Wapi nimesema kuwa sifi?Kwani kama Hawa anafanya uzembe wa wazi kabisa ambao unaonyesha kabisa kuwa unaweza kumuua asiambiwe kuwa atakufa?Mtu akiona ukiwa umevaa hiyo kaunda ya mwalimu hapo kwenye avatar yako anaweza kufikiri kuwa kichwani una akili lakini kumbe ni debe tupu!
Mimi shida yangu ni hiyo kaunda ya mwalimu uliyovaa hapo kwenye avatar yako wakati haikutoshi.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kuwa hayapo.Kuna genge la viongozi wahuni tena Rais wa nchi alitaka kuishinda Corona kwa kujidanganya kuwa haipo na wewe upo upande wake,ndiyo maana nasema kuwa hiyo kaunda ya mwalimu uliyovaa haikutoshi na unapaswa kuivua mara moja!Unaongea as if wewe uko nje ya uwanja wakati upo dimbani na huyo unaemtabiria, tumia akili.
Sio kweli corona imetuamsha na kuzikumbuka taasisi zetu zilizokua zikideal na tiba asili, wengi tulikua hatuijui NIMR ila imepewa support na kwa muda mfupi imetengeneza dawa COVIDO ambayo imefanya vizuri sana. Hata kama juhud zetu sio kubwa kama hao wengine ni kutokana na ukweli kuwa kama ulivyosema " Corona haijaleta madhara makubwa hapa kwetu" sasa kwa nn tupangiwe ya kufanya na mataifa mengineHatupambani na Corona kwa namna yoyote ile.Tuache kuongopa. Corona haijaleta madhara makubwa tu hapa kwetu
Kuna jamaa mmoja hapa JF nilimwambia Tanzania inaweza kutoa mutation mpya ya kirusi, akawa anabisha saaana kwa ubishi wa kibongo wa ilimradi kubisha tu
Natamani niuone ule uzi nimuoneshe hii habari.
mafitna haya mkuu yani maisha yako mazuri huku Tanzania kuliko mnavyoaminishwa huko na mabeberu alafu wewe ni learned brother sikutegemea kama utayumbishwa na propagandaKuna jamaa mmoja hapa JF nilimwambia Tanzania inaweza kutoa mutation mpya ya kirusi, akawa anabisha saaana kwa ubishi wa kibongo wa ilimradi kubisha tu
Natamani niuone ule uzi nimuoneshe hii habari.