Nimependa hiyo paragraph sababu naona isha lost kitambo.Remember that until you find your purpose, never think you’re stuck or lost - everything you do is for now, not forever and your just early in the process.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa hiyo paragraph sababu naona isha lost kitambo.Remember that until you find your purpose, never think you’re stuck or lost - everything you do is for now, not forever and your just early in the process.
sawaNi pale utajiona mtumwa ndio utafahamu kilichokuwa ndani yako.
Imagine una-controll and at the time upo controlled what will happen? (Use the Load, Effort and)what i have learnt in life ni kuwa binadamu sio finished product, we are all in process ama tuseme tuna_evolve.
Pia kila mtu ana process yake though wote kwa kiasi flani tupo controlled na exposure tunayoipata ambayo inatengeneza fursa ambazo sisi sote tunazitumia kufika mahali flani
Sometimes pia haijalishi kuwa unacontroll au upo controlled na external forces katika hiyo process maana mwisho wa siku kinachomatter ni kufikia mafanikio. Hapo ndipo mtihani ulipo
Hapana! nisingeliweza kukupatia jibu kwa kuzungumzia nafsi yako, that's why nimeuliza kusudi nikupatie jawabu baada ya kunijibu, ndio maana nimeanza kwa "Inawezekana!"Mbona umeniuliza tena swali nililokuuliza?
¡Gracias 😊Great one
Kwani kuna kitu kama full control ya maisha ilhali tunategemeana kama binadamu yaani huwezi fanya kitu flani bila kutegemea mtu mwingineImagine una-controll and at the time upo controlled what will happen? (Use the Load, Effort and)
Vizuri 😊kwani kuna kitu kama full control ya maisha ilhali tunategemeana kama binadamu yaani huwezi fanya kitu flani bila kutegemea mtu mwingine
lilikuwa ni swali bila question mark 😂.. nilikuuliza kama kuna full control ya maisha ilhali tunategemeana kama binadamuVizuri 😊
Full Control ya maisha ipo kwa asilimia yake, na kutegemea kupo either Directly or Indirectly.lilikuwa ni swali bila question mark 😂.. nilikuuliza kama kuna full control ya maisha ilhali tunategemeana kama binadamu