Most people don’t know what their purpose in life is

Most people don’t know what their purpose in life is

What i have learnt in life ni kuwa binadamu sio finished product, we are all in process ama tuseme tuna_evolve.

Pia kila mtu ana process yake though wote kwa kiasi flani tupo controlled na exposure tunayoipata ambayo inatengeneza fursa ambazo sisi sote tunazitumia kufika mahali flani.

Sometimes pia haijalishi kuwa unacontroll au upo controlled na external forces katika hiyo process maana mwisho wa siku kinachomatter ni kufikia mafanikio. Hapo ndipo mtihani ulipo.
 
what i have learnt in life ni kuwa binadamu sio finished product, we are all in process ama tuseme tuna_evolve.

Pia kila mtu ana process yake though wote kwa kiasi flani tupo controlled na exposure tunayoipata ambayo inatengeneza fursa ambazo sisi sote tunazitumia kufika mahali flani

Sometimes pia haijalishi kuwa unacontroll au upo controlled na external forces katika hiyo process maana mwisho wa siku kinachomatter ni kufikia mafanikio. Hapo ndipo mtihani ulipo
Imagine una-controll and at the time upo controlled what will happen? (Use the Load, Effort and)
 
Hivi kuwaonea watu huruma, kuwa emotional na shida zao na kuwasaidia inapowezekana. Nayo ni purpose ya kuwa duniani?
 
Hivi kuwaonea watu huruma,kuwa emotional na shida zao na kuwasaidia inapowezekana. Nayo ni purpose ya kuwa duniani?
Inawezekana! Inna Kwani unavyoona/hisi purpose yako duniani ni kuwaonea watu huruma na kusaidia shida zao?
 
Mbona umeniuliza tena swali nililokuuliza?
Hapana! nisingeliweza kukupatia jibu kwa kuzungumzia nafsi yako, that's why nimeuliza kusudi nikupatie jawabu baada ya kunijibu, ndio maana nimeanza kwa "Inawezekana!"
 
Imagine una-controll and at the time upo controlled what will happen? (Use the Load, Effort and)
Kwani kuna kitu kama full control ya maisha ilhali tunategemeana kama binadamu yaani huwezi fanya kitu flani bila kutegemea mtu mwingine
 
lilikuwa ni swali bila question mark 😂.. nilikuuliza kama kuna full control ya maisha ilhali tunategemeana kama binadamu
Full Control ya maisha ipo kwa asilimia yake, na kutegemea kupo either Directly or Indirectly.

Japo ni wachache wanaotegemea Indirectly kuliko wengi wa Directly! Utaweza kuona namtegemea Max kupitia uwepo wa JamiiForums at the same time namtegemea Daktari kunipatia matibabu.
 
Back
Top Bottom