INAUZWA Mota mbili za HP 3

INAUZWA Mota mbili za HP 3

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
72
Habari wadau, nauza mota zangu 2 za hp 3 kila moja.Mota zote ni nzima kabisa na hazina shida yoyote.Ni za phase 3.

Zote ni made in germany na zinauwezo kutumika kwenye phase 3.Bei ni laki 3 kila moja.Angalia picha.Kama unazihitaji njoo 0688901124
20200925_145400.jpg
 
Habari wadau, nauza mota zangu 2 za hp 3 kila moja.Mota zote ni nzima kabisa na hazina shida yoyote.

Zote ni made in germany na zinauwezo kutumika kwenye phase 3.Bei ni laki 3 kila moja.Angalia picha.Kama unazihitaji njoo 0688901124View attachment 1586530
Mkuu zipake walau rangi zivutie. Motor kweli zaweza kuwa ni nzima ila hazina mwonekano mzuri.

Hala hizo motor hebu weka speed zake na useme kama ni single au 3-phase
 
Zinafanya kazi gani ndugu yangu
 
Back
Top Bottom